Tafadhari kwa wanaojua mshaurini

Tafadhari kwa wanaojua mshaurini

Joined
Nov 14, 2023
Posts
71
Reaction score
53
Kuna kijana anataka kusoma degree bado yupo njia panda kutokana na vigezo na pendekezo lake kuna Business administration, Public administration na HR je? ni ipi ni kozi nzuri kulingana na soko la ajira.
 
Business administration wakàti baba yako hana kiwanda.

Aende akasomee kazi mashine oparator.

Kuna chuo kizuri sana Pretoria million 2 tu you done it.
 
Kuna kijana anataka kusoma degree bado yupo njia panda kutokana na vigezo na pendekezo lake kuna Business administration, Public administration na HR je? ni ipi ni kozi nzuri kulingana na soko la ajira.
Kama hana connection akasoma kozi hata ya chini yenye self-employment
 
Back
Top Bottom