tafadhari nahitaji msaada

tafadhari nahitaji msaada

kisana moja

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
52
Reaction score
13
Habari!
ndugu zangu mimi nipo Dodoma nina tatizo moja nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nimekata tamaa kabisa, hivyo naomba mwenye maelezo anipe njia elekezi namna ya kupata tiba au nifanyeje angalau nipunguze maumivu haya .
 
kula matango 6 kwa siku kwa muda wa wiki mbili.
 
Back
Top Bottom