Fumigation sio kuzibua mitaro ndgNenda ofisini yeyote ya bwana/bibi afya iwe wa kata,wilaya au mkoa atakupa mwongozo zaidi.
Kumbuka usitoe rushwa kurahisisha kupata vibali/leseni.
NB:Huyo dogo wako mzigo ataweza kweli kuzibua vyoo/mitaro??
Kila la heri.!!
Sasa huwezi fanya fumigation kwenye mitaro au chemba za vyoo?Fumigation sio kuzibua mitaro ndg
Fumigation ni kupulizia/ kuspray dawa ya kuua waddu kama vile kunguni, popo au mashambani