Abramovic
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 324
- 605
Heshima kwenu Wakuu,
Tafadhari naomba kufahamishwa Vibali vinavyohitajika ili mtu aruhusiwe kutoa huduma ya fumigation. Pia kama kuna taratibu zozote za kufuata au vigezo anavyopaswa kuwa navyo mhusika. Maana kuna dogo home hapa amekua mzigo sasa amenipa proposal yake kua angependa kufanya hiyo kitu lakini hatujui pa kuanzia.
Tafadhari msaada wenu wa kuu! Natanguliza shukurani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app