Tafadhari naomba Msaada wa haraka!

Tafadhari naomba Msaada wa haraka!

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
Jamani wana JF,Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu,katika mchepuo wa HKL.Naomba mnisaidie kutafuta kazi yoyote.Naweza kutumia computer.Nipo TABORA MANISPAA.
 
tizo usiwaze kazi utazohitaji computer, besides, nowadays kila mtu anatumia computer
 
Pole sana kuna wenzio wamemaliza chuo kikuu mwaka juzi bado wanachapa lapa mtaani... lakini usikate tamaa kila mtu na bahati yake mpendwa!!!!
 
sali na kumuomba Mungu atakusaidia ila huu upuuzi wakousituletee tena hapa siku nyingine
 
Form six leaver kama mjomba au baba mdogo hana kiwanda/kampuni unawahi tu kwenye shule za kata..,
 
sali na kumuomba Mungu atakusaidia ila huu upuuzi wakousituletee tena hapa siku nyingine
wewe upuuzi gan ?
mbona unamtus mwenzako bila sababu?
kuomba msaada ndo umwite mpuuzi kaka? isn fear..
ungemwelewesha like elimu yako ndg ..soma kwanza ..etc lakin si kumwita mpuuz kaka apo mhh apana apajatulia

uwez jua yupo kwenye mazngra gan kaka mpk kaomba tafu umu..uenda anataman kusoma ajapata wa kumwendeleza,uenda mamakew anaumwa hana msaada ndo mana anaomba kibarua amsaidie mamake...
USIPENDE KUDHARAU MTU AKIWA NA SHDA..
ISNT BATTLE...m jst thnkng.
pole km nimekukwaza lakin kumwita mtu mpuuz wakat ameomba msaada si fresh.
 
sali na kumuomba Mungu atakusaidia ila huu upuuzi wakousituletee tena hapa siku nyingine
Kuna upuuzi gani hapo ikiwa mtu anaomba msaada, tuko hapa kusaidiana na kuelimishana na sio kuona shida ya mtu ni upuuzi, ingekuwa ni wewe umeleta shida yako hapa na unahitaji msaada hata wa mawazo halafu mtu akakwambia usilete tena huo upuuzi wako tena hapa kibinaadam ungejisikiaje? Tusikatishane tamaa jamani tusaidiane hata kwa mawazo tu hiyo itajenga.
 
pole usikate tamaa ndugu kwani maisha ni mtihani yanahitaji uvumilivu kufikia malengo.
 
tizo usiwaze kazi utazohitaji computer, besides, nowadays kila mtu anatumia computer

Nashauri uendelee na masomo kijana. kuna kozi nyingi za kufanya kupitia results zako za form 4 au 6. afya, ualimu, ufundi nk. tatizo nini?? kazi yoyote, what do you mean? ni kazi sana kupata kazi yoyote;
 
sali na kumuomba Mungu atakusaidia ila huu upuuzi wakousituletee tena hapa siku nyingine

we pumbavu na mshenzi wa tabia umetokea wapi huku na JF una pa kulalia mpaka unakesha na matusi kwenye mtandao wa wenzio mbona huko nyuma mukuwa hivyo jamani ...wamekubadilisha kabisa uwe na adabu siku nyingine kamtukane mamakomzazi usitukane wenye ukuhoji shida walizotungiwa na mwenyezi mungu huna adabu mwana wa laana weyeeeee
 
Kabla hujasema na sisi Mungu ameijuia shida yako, Mwombe akusaidie upate kazi
 
Ni muda muhafaka kua karibu na wanafamilia, kazi kwa sasa hivi kwa level yako utaumiza kichwa bure, subiria matokeo yako yakitoka freshi nenda Chuo fasta uongeze ufahamu, baada ya hapo ndo uanze mchakato wa kutafuta kazi.
 
we pumbavu na mshenzi wa tabia umetokea wapi huku na JF una pa kulalia mpaka unakesha na matusi kwenye mtandao wa wenzio mbona huko nyuma mukuwa hivyo jamani ...wamekubadilisha kabisa uwe na adabu siku nyingine kamtukane mamakomzazi usitukane wenye ukuhoji shida walizotungiwa na mwenyezi mungu huna adabu mwana wa laana weyeeeee[/QUOTE

Siyo uwanja wa mapambano: JF hipo kimsaada zaidi na si matusi.
 
Utapata kazi usijali! Hao wanaokubeza walikuwa kama wewe, Mungu akusaidie Brother.
 
sali na kumuomba Mungu atakusaidia ila huu upuuzi wakousituletee tena hapa siku nyingine

Hapo kwenye nyekundu siyo sawa hata kidogo.Dogo anaomba msaada kwa hiyo nilitarajia ungempa maneno ya busara kuliko kuandika ulichoandika. Dunia ni duara kubwa na inazunguka kuna leo na kesho so kama huna point ni vyema ukaa kimya.
Dogo nakushauri pia jaribu kutembelea shule za kata nadhani nyingi hazina waalimu.
 
we pumbavu na mshenzi wa tabia umetokea wapi huku na JF una pa kulalia mpaka unakesha na matusi kwenye mtandao wa wenzio mbona huko nyuma mukuwa hivyo jamani ...wamekubadilisha kabisa uwe na adabu siku nyingine kamtukane mamakomzazi usitukane wenye ukuhoji shida walizotungiwa na mwenyezi mungu huna adabu mwana wa laana weyeeeee[/QUOTE

Siyo uwanja wa mapambano: JF hipo kimsaada zaidi na si matusi.

Mmmmhhhhhh
 
Back
Top Bottom