Tafadhari naomba Msaada wa haraka!

Tafadhari naomba Msaada wa haraka!

we pumbavu na mshenzi wa tabia umetokea wapi huku na JF una pa kulalia mpaka unakesha na matusi kwenye mtandao wa wenzio mbona huko nyuma mukuwa hivyo jamani ...wamekubadilisha kabisa uwe na adabu siku nyingine kamtukane mamakomzazi usitukane wenye ukuhoji shida walizotungiwa na mwenyezi mungu huna adabu mwana wa laana weyeeeee

Heeee umekasirika kiasi hiki sijawahi kukuona hivi. Potezea bana
 
Naamini uwanja huu ni wa watu wasomi, cha ajabu intellectual mzima anatoa lugha chafu! ajabu! hebu tuwe wastaarabu jamani,
 
kaza **** kaka cyo kuajiriwa tu uza ata karanga taratibu ukiwa na malengo utakimbia umbali mfupi lakini kama huna utakimbia mbio haziishi''tafuta maisha cyo kazi'
 
kaza **** kaka cyo kuajiriwa tu uza ata karanga taratibu ukiwa na malengo utakimbia umbali mfupi lakini kama huna utakimbia mbio haziishi''tafuta maisha cyo kazi'

hizo nyota nyota uliandika tusi!!?
Lol!
 
Back
Top Bottom