Tafadhari usipite, bila kunishauri.

Tafadhari usipite, bila kunishauri.

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakubwa shikamoooooo !!, wa rika langu habari za jioni ??, ninaowazidi marhaba wakuu ni kwamba nimenunua kiwanja kama nusu ekari karibu na hospitali ya mkoa huko kwetu Njombe, Sasa nipeni ushauri ,hivi ni biashara ipi inaweza kunilipa nikianzisha ???. karibuni wakubwa.
 
Siyo Mjini kivile, isipokuwa kwa Mipango iliyopo baadae pata changanya.
 
1. Jenga mochuari ya kisasa pia uwe unauza majeneza na kuwa na gari ya kubebea maiti.
2. Ukihisi hiyo ya kwanza inakuwa ngumu, jenga restaurant nzuri ambayo utakuwa na huduma maalumu ya kupika chakula cha wagonjwa

Ila hiyo ya kwanza utapiga pesa mpaka utakimbia mwenyewe
 
Mkiambiwa shule mmezipa kisogo utaona kama umeonewa
Haya sasa matokeo yake ndo hayo
 
1. Jenga mochuari ya kisasa pia uwe unauza majeneza na kuwa na gari ya kubebea maiti.
2. Ukihisi hiyo ya kwanza inakuwa ngumu, jenga restaurant nzuri ambayo utakuwa na huduma maalumu ya kupika chakula cha wagonjwa

Ila hiyo ya kwanza utapiga pesa mpaka utakimbia mwenyewe
I second this
 
Duh!!, hiyo ya kwanza umenitisha, ninavyoogopa hizo kitu. Labda nijaribu hiyo ya pili.
 
Back
Top Bottom