Mkeo hajambo?
Mke wangu mimi anakuhusu nini wewe .. kwanini usiulizie hali ya watoto wangu . Umeanza ufisi kwenye ndoa yangu sindio !?Mkeo hajambo?
Sasa shem mbona maneno mengi?Mke wangu mimi anakuhusu nini wewe .. kwanini usiulizie hali ya watoto wangu . Umeanza ufisi kwenye ndoa yangu sindio !?View attachment 1006886
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahgh wapi " number yake huna !?Sasa shem mbona maneno mengi?
Ina maana kukuuliza kuhusu maendeleo ya dadaangu ni kosa?
Nilipoteza simu mkuu
Hahaa ... mkuu sina VPN ujue utaniponza nije jikuta naamkia ununiohahaha ujumbe kwa jiwe, toka kwa hao nduguze mawe (kwenye picha)
Nimekuja KRISMASI na MWAKA MPYA nimeambiwa mlishahama kitambo
Nikweli " Kabla ya kuja ulipaswa kuacha hata info pm " ningeikuta baada ya kuingia online ... na mambo yote yangekwenda sawaNimekuja KRISMASI na MWAKA MPYA nimeambiwa mlishahama kitambo