Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Jaribu kutafakari hili siku ya leo.
Dunia ina maisha ya watu ya aina tatu tu.
(Kundi A wazee wa tabu)
1. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata tabu tena,
2. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata raha.
3. Kuna watakaoishi kwa tabu duniani na wakifa hawaendi kuishi chochote,.
(Kundi B wazee wa starehe)
1. Kuna watakaoishi kwa raha duniani na wakifa wanaenda kupata raha tena.
2. Kuna watakaoishi kwa raha duniani wakifa wanaenda kupata taabu.
3. Kuna watakaopata raha duniani na kuishi kwa starehe zote na wakifa hawaendi Kutana na chochote.
Hii ndio siri za dunia na maisha yake.
Hivyo basi tafakari upo kundi gani na maisha gani unaishi, kama una nafasi ya kubadilisha basi pambana utoke ulipo.
Mwisho namalizia, ongea na moyo wako angalia maisha gani unayaishi na upo kundi gani fanya maamuzi.
Mimi nipo kundi B nafasi ya 3