Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Maisha ni mzunguko nami nipo kwenye mzunguko huo wa kuzaliwa, kuishi na kufa na nikishakufa ndio mwisho. Hayo ya maisha ya baada ya kifo kwanza sio maisha.Sawa unaonyesha upo nafasi ya tatu, je upo kundi gani? Naomba share na mimi pls