Athumani malumalu
New Member
- Mar 24, 2022
- 4
- 4
Kwanini wanafunzi wanaotuma maombi kujiunga na vyuo vikuu ambao hawajafaham vizuri kozi zinazotolewa na vyuo husika, wanatakiwa kulipa kwanza hela kabla yakuchagua kozi!!!
Kitu ambacho kinawalazim wachague kozi wasizozipenda kwakuwa pesa hairudi.
Usipolipa huwezi kuona hatua inayofuata. Inawaumiza sana watu..
Kitu ambacho kinawalazim wachague kozi wasizozipenda kwakuwa pesa hairudi.
Usipolipa huwezi kuona hatua inayofuata. Inawaumiza sana watu..