Ali kiba ana mzidi diamond sauti, kwa kweli hilo ni kweli
Ila sasa domo ana mzidi Kiba the rest, kama ifutavyo.
Composing/kutunga
Cariography/kupafom
Dressing/kutupia
Marketing/masoko
Management/menejiment
Communications/mawasilioano hasa matumiz ya mitandao na ku connect na washabiki
Exposure/domo kaiona dunia sehemu nyingi kuliko Kiba.
Domo kwa vitu alivo mzidi kiba ni vingi sanaa, na sio ajabu kwa kuwa hata barnaba, belle 9 na Ben pol na hata Jux wana mzidi mbali domo kwa sauti nzuri.
"Hivo Ali Kiba ni mwimbaji mzuri kuliko Domo ila siyo, msanii mzuri wala mwanamuziki(si ajabu wote si wanaamuziki wazuri pia) kuliko domo, kwa kuwa ili uwe msanii au mwana muziki mzuri kuna combined factors lazma ziwepo.
*wote wana fanya fresh lakin ndo uzuri
*haya ni mawazo yangu tuu, marekebisho yata pokelewa