Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah,Rais yuko sahihi kabisa piga kazi ionekane hamna longo longo mitandaoni konda boy tushamsahau na dar yakeHapo kwa dokta mwaka na wachelewaji alikuwa sahihi. Mi nafikiri kilichomuangusha huyu jamaa ni maisha yake ya mitandaoni. Nimeelewa kwanini wanasiasa wengi hawapendi mitandao.
Tatizo ni kugeuza camera kuwa ndio ofisiHivi kama kukosa kurudi baraza la uwaziri ni laana, vipi ambao hawajawahi hata kunusa huo Uwaziri kama kina Musukuma n.k...au vipi na waliokosa kabisa Ubunge kama kina Mzee Mwanri, Kessy n.k?....nawaza tu kwa sauti.
Ili la kununua VX V8 kibali cha kununua huwa kinatolewa ofisi ya Waziri Mkuu, hivyo kama utumbuaji uanzie huko kwa PM.Kigwangalla ana tofauti na gani na yule DED wa Geita aliyenunua VX-R V8 ya TZS milioni 460 ilhali shule za wilaya yake hazina madawati na watoto wanakalia matofali? Yaani hawa jamaa ni kama ukoo wa panya. Chupa na kizibo
Wakuja na waliodumazwa na malezi ya kimasikini.Hili ni tatizo kwa wanasiasa wengi, wameshindwa kabisa kutofautisha na siasa na utumishi wa uma
Jamaa ana wivu sana yule mdudu wa porini Nyegere anasubiriAlimtoa pia kafara Hamza Temba. Kama uwongo aje apinge hapa.
sio lazima,inategemea na ukilaza wa mtu na mtu.Wakuja na waliodumazwa na malezi ya kimasikini.
Hivi mtu aliyetembea kilometa 15 kwenda shule 15 kurudi home akishindia mapera pori au matunda pori au vipolo vya muhogo na akapata bahati ya kuja mjini chuo Mkubwa, baada ya chuo akapata bahati ya ajira,atashindwa vipi kujimwambafy na kusumbuliwa na ushamba wa madaraka yapitayo.
Hapana, alipaswa alowekwe bahari ya Hindi wiki nzima.Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao.
Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena kwenye mahafali natumai mbele ya familia yake kisa amekosa ukakamavu wa kiaskari. Amewahi kuwadhalilisha wananchi kwenye operesheni za misitu na hifadhi akiwa na kombati Kama Askari kabisa. Aliwahi mtunishia misuli Katibu Mkuu wa wizara yake.
Leo hii inabainika alikuwa anapiga piga na helkopta ya umma na kutumia mafuta ya umma huku akilipwa. Inabainika alitumia vibaya fedha za umma kulipa wasanii.
Alistahili zaidi ya kunyimwa uwaziri, alipaswa kufika Kisutu sema ndo hivyo ni mkubwa.
Ni makosa ya aliyemteua kuwa waziri. Huyu hata ukimuangalia usoni, haoneshi busara. Ni kichwa tupu! KUna watu unaweza kuwakwepa hata kwa muonekano wa sura zao, ni pamoja na Nyarandu. Bahati mbaya wote walipita wizara hiyo ya maliasili na utalii. Tufiche nini bhana!Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao.
Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena kwenye mahafali natumai mbele ya familia yake kisa amekosa ukakamavu wa kiaskari. Amewahi kuwadhalilisha wananchi kwenye operesheni za misitu na hifadhi akiwa na kombati Kama Askari kabisa. Aliwahi mtunishia misuli Katibu Mkuu wa wizara yake.
Leo hii inabainika alikuwa anapiga piga na helkopta ya umma na kutumia mafuta ya umma huku akilipwa. Inabainika alitumia vibaya fedha za umma kulipa wasanii.
Alistahili zaidi ya kunyimwa uwaziri, alipaswa kufika Kisutu sema ndo hivyo ni mkubwa.
Yanga wengi Sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji13][emoji13]Huyu kijana aliwakosea nini nyie wadau? Kama ni uwaziri tayari ameukosa ila kutwa kumshambulia kuanzia JF mpaka huko twitter.
Mpumzisheni Sasa.
M! Nina mashaka, mwenza wa kigwa nae pia ni daktari nadhani, ataendaje kutafuta dawa za chango KWA mganga wa kienyeji??Alimchapia baada ya mwenza wa Kigwa kwenda kutafuta tiba ya chango.
Tabibu Mwaka akaona isiwe tabu, akampa tiba kwa kutumia njia ya kukutanisha vitolea haja ndogo vya kwake na vya mgonjwa.