The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Zikiisha na Vita vitaishaCongodrc
Sudan
Chanzo rasilimali
Tumeletewa dini za kizushi na kupumbazwa akili makusudi kwani waliotuletea hizo dini walijuwa kuwa ndiyo njia pekee ya kututawala na kutuibia mali zetu.Hivi ni lini waafrika tutaacha upumbavu ili tukue.
Hapa ni waafrika wamegeuza maroboti wauwane Chini wakuu wa dunia wanapora madini.
Akili zetu zipo kwenye kupigana wao uchukua madini.
View attachment 3309654
Dini ni kwa ajili ya Dunia mzima na sio kwa ajili ya waafrika pekee.Tumeletewa dini za kizushi na kupumbazwa akili makusudi kwani waliotuletea hizo dini walijuwa kuwa ndiyo njia pekee ya kututawala na kutuibia mali zetu.
Wao wana hizo dini ila hawajali kama się Waafrika. Kila dhehebu lina imani na mila zake hizi dini za kizushi si zetu na ndizo zilizotuharibu akili.Dini ni kwa ajili ya Dunia mzima na sio kwa ajili ya waafrika pekee.
Mbona wao wanahizi dini na ukuti upumbavu huu.
Kakudanganya naniWao wana hizo dini ila hawajali kama się Waafrika. Kila dhehebu lina imani na mila zake hizi dini za kizushi si zetu na ndizo zilizotuharibu akili.
Mkuu hujaamka bado, unataka kuniambia kuwa hujuwi hili?Kakudanganya nani
Haoni Pope watu walivyojaa kumuagaDini ni kwa ajili ya Dunia mzima na sio kwa ajili ya waafrika pekee.
Mbona wao wanahizi dini na ukuti upumbavu huu.
Nyerere alishawaambia, mkiacha kufikiri, wazungu watafikiri kwa niaba yenu. Mwenye kuelewa alichosema Nyerere na afahamu.Hivi ni lini waafrika tutaacha upumbavu ili tukue.
Hapa ni waafrika wamegeuza maroboti wauwane Chini wakuu wa dunia wanapora madini.
Akili zetu zipo kwenye kupigana wao uchukua madini.
View attachment 3309654