britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mkuu asante kwa bandiko!!
ExactlyMkuu asante kwa bandiko!!
Unazungumza na wenye akili sana kwa mafumbo ya lugha ya picha!!
Njiti zote zitawaka iwapo moja tu ikiwashwa moto!!! yaani system mzima itaharibika kwa kupiga mmoja tu na wengine watateketea!
ASANTE kwa tafakuri!!!
Tujiulize ni nani atapigwa kuua system nzima!!?
TUSUBIRI!