Tafakari time

Tafakari time

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
FE753FA2-C842-4A04-AD45-03379B9AACEA.jpeg
 
Ugopa Bangi......
Kitu inapigwa marufuku na serikali alafu wewe bado unavuta
 
Mkuu ulikuwa una nyota na medani kadhaa humu ñdani,

Ghafla kila kitu kimeshuka na kuporomoka umebaki afande wa kawaida ukipishana kwenye lindo

Zile posts zako zilizoshiba,zimeharibiwa na post moja tu

Jitafakari
 
Mkuu asante kwa bandiko!!
Unazungumza na wenye akili sana kwa mafumbo ya lugha ya picha!!
Njiti zote zitawaka iwapo moja tu ikiwashwa moto!!! yaani system mzima itaharibika kwa kupiga mmoja tu na wengine watateketea!
ASANTE kwa tafakuri!!!
Tujiulize ni nani atapigwa kuua system nzima!!?
TUSUBIRI!
 
Exactly
 
Back
Top Bottom