Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Katika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli.
Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.
Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?