Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wala hataki ushauriTena waambie sisi rais wetu ni Jiwe hababaishwi.
Hata huo msemo ni muendelezo, wameanzisha hao hao mnaowaita mabeberu.“Ask not what your country can do for you – ask what you can do for your country,” ~ JOHN F KENNEDY
[emoji23][emoji23][emoji23] umempa za uso, tatzo kukaliliHata huo msemo ni muendelezo, wameanzisha hao hao mnao waita mabeberu.
Bora ungepita kimya kimya kiazi wewe.
Hahahaha....miccm ile ile yaan...Hata huo msemo ni muendelezo, wameanzisha hao hao mnao waita mabeberu.
Bora ungepita kimya kimya kiazi wewe.
Katika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini ,pikipiki mpaka baiskeli.
Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.
Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao , hasa Tanzania . Tumechangia nini
katika kwa maendeleo haya ya Dunia?
Umejibu vyema mkuu tusingekuwepo sisi wange uza wapi?Soko.
Sisi ni soko.
Sio 'dampo' (In English dump)?Soko.
Sisi ni soko.
Tunapika visheti kama wanahitaji..lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupo tayari kusupply wakihitajiTunapika visheti kama wanahitaji..lol
Yani Afrika ni soko dogo sana linapokuja suala la bidhaa kutoka nje, na ndiyo maana hata nchi nyingi za afrika zina CPC ndogo sana kwakuwa wanajua hamnunui bidhaa probability ya kununua ni ndogo.Soko.
Sisi ni soko.
Makampuni ya mabeberu huwa yanafuata nini Afrika? Ukishajua, ndio utajua tuna mchango ganiKatika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli.
Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.
Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?