Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

Ndio tuuseme/ tuuweke wazi
Naamini una ubongo kichwani kwako, nimekwambia jiulize makampuni ya mabeberu yanafuata nini Afrika? Na nikasema, ukipata jibu, basi utajua mchango wetu ni upi. Sasa niambia, umepata jibu gani? Liweke hapa, maana huo ndio mchango wetu.
 
Sawa tuleteeni gwajima atupeleke kwa mabeberu 🥴🥴
 
Na hakuna vita vyovyote! Anayeshadadia kuwaita mabeberu alikuwa kwenye ziara huko huko kwa mabeberu, akiwasalimu kwa kuinama kabisa!
 
Hii sumu ya kuwa mabeberu wanatuonea wivu waafrika wingi,tumelishwa na viongozi wetu waliochukua madaraka kutoka kwa wakoloni kwa mbwembwe,then wakashindwa kuwaletea wananchi wao maendeleo,kisingizio kilikuwa ni mabeberu hawatupendi
 
Very sad. Miaka ya sitini 🐅 Tiger Countries zilikuwa fukara kama sisi, leo nchi hizo ni tajiri sana
 
Naamini una ubongo kichwani kwako, nimekwambia jiulize makampuni ya mabeberu yanafuata nini Afrika? Na nikasema, ukipata jibu, basi utajua mchango wetu ni upi. Sasa niambia, umepata jibu gani? Liweke hapa, maana huo ndio mchango wetu.

Hujasikia jitihada za kutafuata wawekezaji?

Hivi yule Kitila Mkumbo, profesa ni waziri wa nini vile?

Kumbe wao ndiyo wanakuja na sisi hatuwataki kabisa?

Akili za buku saba kweri hazina akili.
 
Yaani utakuta Hata time na Sisi hawana, ni wanasiasa tu wametuchanganya ¯\(ツ)/¯ we Sisi kushindana na hao Jamaa, ni sawa na Mimi na wewe tushindane na serikali, Kwa vyovyote huezi Shinda, kaangalie Libya, Zimbabwe ndo Hata pesa yao wenyewe Sidhani Kama wanayo Nahisi ilitoweka, ni ngumu kushindana na hao watu, Zimbabwe pesa yake Ilikuwa kubwa sana zilikuwa zinachuana na Randy ya south,Zimbabwe ilikuwa na chakula kingi sana Leo kimyaaa,sisi mijiZi ilikuwa humuhumu ndani, now yamethibitiwa, ujanja ulikuwa mwingi sana, hongera rais wetu
 
Meko nae huwaga ni muongo muongo kujenga ka flyover kamoja uchwara sisi tumekuwa ni matajiri..mbeges zake
 
Tumechangia madini yetu yanayotumika kutengeneza vitu mbalimbali kwenye viwanda vyao
 
Jamaa Kisha sema anahitaji kuombewa. Kile kichwa ni abnormal load
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…