Tafakari ya German East Africa

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Hebu tafakari kama German East Africa ingepata uhuru pamoja bila Rwanda Na Burundi kumegwa na Belgium baada ya ujerumani kushindwa vita vya kwanza vya Dunia;

Ingewezekana kama tungepata uhuru kutoka kwa Ujerumani au hata kama kwa Uingereza ingewezekana tusingeungana na Zanzibar na muhimu zaidi kw utawala wa Nyerere Genocide zote za Burundi na baadaye Rwanda zingeepukika kwa sababu ya upiganaji vita wa mambo ukabila wa Nyerere na kutuunganisha na Kiswahili na bila udini.

 
Umeunganisha bila nafasi, kituo, koma, mkwaju hadi uzi wote umeshikana maandishi kama uzi...☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…