Tafakari ya leo: Watu au makundi ya watu yasiyoaminika katika jamii

Tafakari ya leo: Watu au makundi ya watu yasiyoaminika katika jamii

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kuna watu au makundi ya watu wakitoa kauli si rahisi kuaminika. Ni watu gani au makundi gani ya watu hawaaminiki KATU?
1. Polisi
2. CCM
3. Bakwata
4. Malasusa
5. ACT ( baadhi excluding Ado Shahibu)
6. Mahakama

Ongezea.....
Bottomline ni kuwa yeyote asiyekemea maovu yanayoendelea Tanzania ni MWOVU NA HÀPASHWI KUAMINIKA

Naomba radhi nitakayemkwaza lakini sina jinsi. Roho imekataa kukaa kimya/ kutoa kero hii moyoni mwangu.
 
Back
Top Bottom