The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Ukisoma ile tafakari ya TEC Mstari kwa Mstari walimaliza kila kitu. Sasa tume ya bitozo ikija na report tofauti na hiyo ni uongo.
CCM Kunahaja kubwa ya kuwashikisha adabu siyo wawajibikaji na wanajeuri sana hawana lengo la kuponya nchi.
Sisi tutakuja kulinganisha hizi report mbili na mda utaongea.