The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Nov 18, 2025 #1 GT Ukisoma ile tafakari ya TEC Mstari kwa Mstari walimaliza kila kitu. Sasa tume ya bitozo ikija na report tofauti na hiyo ni uongo. CCM Kunahaja kubwa ya kuwashikisha adabu siyo wawajibikaji na wanajeuri sana hawana lengo la kuponya nchi. Sisi tutakuja kulinganisha hizi report mbili na mda utaongea.
GT Ukisoma ile tafakari ya TEC Mstari kwa Mstari walimaliza kila kitu. Sasa tume ya bitozo ikija na report tofauti na hiyo ni uongo. CCM Kunahaja kubwa ya kuwashikisha adabu siyo wawajibikaji na wanajeuri sana hawana lengo la kuponya nchi. Sisi tutakuja kulinganisha hizi report mbili na mda utaongea.
K konalipin JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,313 Reaction score 2,414 Nov 18, 2025 #2 TEC Walisema chanzo cha yote
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Nov 18, 2025 #3 Hiyo kwa mujibu wa wewe mtec mwenzao