Tafakuri: Je, Siasa hizi za mihemko na kufuata "trends" za mitandao zitawafikisha wapinzani nchi ya ahadi?

Tafakuri: Je, Siasa hizi za mihemko na kufuata "trends" za mitandao zitawafikisha wapinzani nchi ya ahadi?

Hiki ndio kipindi tutachoona na kusikia mengi kutoka kwa watawala, ni vyema wapinzani kustick kwenye mipango yao waliyopanga pasipo kupoteza focus kwenye agenda "potevu" zinazoanzishwa na watawala.
 
Wakati wa kuchanga karata kwa ustadi mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom