Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Consistency ndio hupaswa kumfanya mtu awe na akiba ya maneno. Yanga wana consistency nzuri, so let them be
Ni mipango tu, hilo jambo la kuwa na maneno ya akiba linatakiwe liwe msimbazi
Sio kwa hizo points wajubaHata kama mpira unadunda.... Kwamba Yanga wshindwe kubeba kombe???
Hkn kitu Kam hchi
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO....🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
Sio mbaya....waendelee kutuletea kina fredDar Young Africans Hatuna Mpinzani Hizi Team Zingine Wasajiri Msimu Ujao Waje Tushindane
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Hachelewi kuzimia mambo yakienda ndivyo sivyo. Safari hii atakata moto kabisa
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
Competing against yourself, maana yake nikufanya Bora Zaid kuliko ulivyofanya kabla mfano mzuri ni kutangeneze bidhaa nzuri zaidi kuliko iliyopita ama iliyoko sokoni[emoji2424] ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”