Tafakuri;sababu za kukamatwa kwa ponda hizi hapa

Acha Uongo.
NSSF wamejaa waislamu, Wakuu wa wilaya ni waislamu, St Augustino baadhi ya wakuu wa idara ni waislamu.

Uliyepost hii thread huna wazo zuri. Utakuwa umetumwa.

Tufanyeni kazi jamani tuacheni kuleta mambo ya ubaguzi. Tungekuwa wakristo ni wabaguzi kama wewe na si waislamu wote na mawazo kama yako wengine wako Chadema, wengine ccm, wengine wanasoma St Augustino, wengine wanasoma tumaini, wengi wanafanya kazi katika mahospitali yanayomilikiwa na makanisa, wengine tena wanapata hadi tenda bila kubaguliwa ila wanameet qualification.


TUACHENI SIASA KWENYE DINI.

Mimi mkiristo, baba yangu mkubwa muislam, mdogo wangu muislam na tunaishi wote nyumba moja wao ijumaa wanaenda msikitini mimi jumapili naenda kanisani. Hizo ni believe wala hazijatugawa ila watu wachache tu wanatumika. Masuala ya maeneo hata wananchi wenyewe wanapokonywa kikubwa katiba ikae sawa kwa wote
 
Aliyeanzisha mada sijui kama katumia akili. Hivi kuchomwa makanisa na kuporwa mali zao kukaa kwao kimya hauoni wakristo wanatumia busara sana? Nao wakisema enough is enough hii nchi itakuwaje? Tutaishi kwa amani kweli. Haya,unadai nchi ina zaidi ya 78/. ya wafanyakazi ni wakristo,hzo takwimu umezitoa wapi?Ili kuthibitishia kuwa haujafikiria kuanzisha mada hii,rais wetu si muislam jamani au huwa haendi kanisani? Ndg zangu waislam someni elimu dunia na si madrassa na mpige kazi kwani serikali yetu haingilii
 
umla habari za leo, umeshindaje siku ya leo? Naomba tu nikukumbushe mambo mawili;

  • Huu ni mwaka 2012 na tunao Maraisi wawili ndani ya Jamhuri ya Tanzania
  • Tunao makamu wa Raisi watatu ndani ya Muungano.
Baada ya utangulizi huo naomba nikupe taarifa hizi tatu muhimu;

  1. Katiba, kama ilivyo sasa, inampa Raisi uwezo mkubwa na haumlazimishi kufuata ushauri wowote ule na hata bunge anao uwezo wa kulivunja kama halikubaliani na matakwa yake.
  2. Raisi ni mwenyekiti wa chama tawala na katiba ya chama inampa uwezo wa kuwateua watendaji wote wa chama kama atakavyo na pia kuwatimua wale atakaoona hawamfai kiutendaji.
  3. Raisi ni kiongozi mkuu wa serikali na vyombo vyake vyote na katiba inampa uwezo wa kuwateua na kutimua viongozi wote wa serikali kama haridhiki na utendaji wao.
Sasa nakupa swali, kwa kuwa kati ya viongozi wote hawa wakuu wa taifa hakuna Mkristo hata moja, huo mfumo Kristo umewezekanaje? Je umewahi kusikia wapi duniani ambapo mfumo Kristo unasimamiwa na Muislaam, nitajie ka nchi kamoja tu! Jamani tuache kutumia maneno bila ya kuyaelewa wala kuyafanyia utafiti, hapa unachofanya ni kuwatukana viongozi wako Dr. Kikwete au Dr.Shein, je hili ndilo kusudio lako? Kwamba wewe umla ni Muislaam safi na sio kama wakina Dr. Bilal ambao bila shaka kwako ni makafir kwa sababu wanasimamia ukafir! Je hilo ndilo dai lako?
 
Last edited by a moderator:


Mpaka sasa sijakuelewa, Mfumo kristo ni nini? Kabla sijachangia chochote! Kama utashindwa kueleza na ukathibitisha kwenye maelezo yako kwa takwimu basi hatuwezi kupoteza mda kujadili na mtu ambaye hana sifa kielimu na tutakuomba usiendelee kuchangia hii thread instead nenda ukaiweke facebook.
 
sioni kwanini mod waunganishe hizi thread au ni ku suppress thread.?Wapi zinaendana au kwa vile kuna jina la Ponda?moja ni ya kisiasa na ukombozi wa nchi nyingine ni hoja mchanganyiko n ainayomhusu ponda na vurugu zake.

NIlijua tuu mara atakapoingia mod mwenye mapenzi na uongo unaonezwa ataanza chnhaya mboga.
 
Simuhitaji Mghana,Mnigirea au Mkenya anielezee historia ya nchi yangu miye!

Kweli bwana. History inayosimuliwa na Harith Ghassany, Mohamed Said na Sivalon inatosha sana.
 
Madhara ya radio imaan; mie muislamu, lakini siipendi naona inataka kusababisha kati ya mimi, mke na watoto wangu ambao wao ni wakristo mtafaruku

we muislamu gani ? Hacha ulongo
 
Mali inayotajwa ni ya BAKWATA km taasisi iliyosajiliwa na si ya kina Ponda. wasajili taasisi yao waone km kuna mtu atakuja kuwauliza wanapobadilishana viwanja kwa ajili ya maendeleo ya taasisi km waliuyofanya BAKWATA.
 
Waisilamu wamefanya makosa kwa Ujinga , Wao hawakutumia akili na kukazana kuwasilimisha wakristo kwa mihadhara na kuoa wakati wakristo wali target wasio na dini (wapagani) ambao kwa mwaka 1961 walikuwa Wengi karibu asilimia 40. Hawakutumia akili kwa nini wakristo wanafungua mission na Mashule kwenye maeneo asilimia kubwa ya Waisilamu Kama Bagamoyo au Lindi, Wao waliogopa kusilimishwa Kumbe mtaji wa wapagani. Wameusahau. Mwisho wakati wa uhuru kulikuwa na madhehebu Matano ya wakristo (wakatholiki, Lutheran, sabato, Moravian, na aic) Leo kuna madhehebu zaidi ya Mia mbili, Yuko kakobe, ephata , mwingira Zion petecoste, baptist etc, na wote wana jaza , ukienda mbeya kila baada ya nyumba kumi kuna kanisa, Nadhani Ndiyo maana wanataka kudhibitisha kwa sensa, kwani wana wasi wasi kuwa huenda wakristo ni Wengi. Hakika ni Wengi.
 
Mali inayotajwa ni ya BAKWATA km taasisi iliyosajiliwa na si ya kina Ponda. wasajili taasisi yao waone km kuna mtu atakuja kuwauliza wanapobadilishana viwanja kwa ajili ya maendeleo ya taasisi km waliuyofanya BAKWATA.
 
Moh'd said ni janga kwa umoja na mshikamano baina ya waislamua na wakristo
 
According to Malcom'X' na Mahatma Gandh kuhusu UKWELI wanasema, UKWELI hauhitaji kusimamiwa na akipatikana wa kuusimamia hakuna gharama, lakini BATILI inahitaji kisimamiwa tena hata kwa dola na kwa gharama kubwa! Tena wanabainisha UKWELI unapitia hatua TATU muhimu;
1. Kudharauliwa
2. Kupambana nao
3. Kisha ukweli hushinda
 
usichikojua ni usiku wa giza nina wasiwasi na elimu yako mr pilot..madrasa ni neno la kiarabu na maana yake kwa kiingereza school na kwa lugha yetu shule..ss unavyowaambia waislam waachane na shule wakasome wapi?(maana elimu hupatikana shule kwa elimu rasmi..na nani kulakuambia waislam hawajasoma?shame on u wit ur ignorance..usitumie maneno usiyo yajua maana yake kwa kufikisha ujumbe wenye utata.
 
Mh! Haya taratibu tutafika huko wanakotaka kutupeleka. Watuleyee silaha wao waje wachote mafuta, gas na uranium.kabla ya ule mwisho kuja. Ningetamani huu muungano ufe. Hapo kisiwani kuwe chini ya waarabu na. Sie tuwe chini ya usa. Hiyo ndiyo TZ ya kesho tunayoitengeneza leo.
 
Kitafutwa chadema na john tendwa, hautafutwa uislam na yoyote
 

chuki,poor you na roho yako mbaya
 

ILA mara kadhaa WALIWAHI KUSEMA WANAGOMEA BIDHAA ZOTE TOKA MAREKANI n.k IKIWAMO MISAADA BUT Ndio wa kwanza kuililia na kuipokea KAMA ULE WA KUPELEKA UMEME ZNZ TOKA BARA NA MINGINE MINGI YA USAID-mh! " Kwa hisani ya watu usiowataka"
 
sawa ndugu yangu. Hata kule Nigeria BOKO HARAM imekuja na vurugu za kuuwa wakristo makanisani na vyuoni, baada ya raisi mkristo Jonathan kuingia madarakani. Mzee mwinyi alitaka aongezewe muda kikatiba na akamtumia Kolimba kulaghai umma kuwa karibia sehemu nyingi alizotembelea mikoani zinamlilia mwinyi atawale tena miak kumi.
wanapodai Raiai ajye atoke zanzibari wanataka msilamu atawale miaka ishirini halafu mkristu atwale miak kumi! naomba ndugu zangu waislamu waache chuki za kuichukia christianity na waridhike na raisi mchapa kazi bila kuangalia dini.
 

Hivi wewe unadhani unauwezo wa kujua uongo unaofundishwa? Kweli yote unayofundishwa mf Kanisani unadhani kweli? Mf umewahi kuona picha ya Yesu? Je ni kweli alizaliwa tarehe 25/12? Mbona unaamini tena bila hata kuhoji.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…