Acha Uongo.
NSSF wamejaa waislamu, Wakuu wa wilaya ni waislamu, St Augustino baadhi ya wakuu wa idara ni waislamu.
Uliyepost hii thread huna wazo zuri. Utakuwa umetumwa.
Tufanyeni kazi jamani tuacheni kuleta mambo ya ubaguzi. Tungekuwa wakristo ni wabaguzi kama wewe na si waislamu wote na mawazo kama yako wengine wako Chadema, wengine ccm, wengine wanasoma St Augustino, wengine wanasoma tumaini, wengi wanafanya kazi katika mahospitali yanayomilikiwa na makanisa, wengine tena wanapata hadi tenda bila kubaguliwa ila wanameet qualification.
TUACHENI SIASA KWENYE DINI.
Mimi mkiristo, baba yangu mkubwa muislam, mdogo wangu muislam na tunaishi wote nyumba moja wao ijumaa wanaenda msikitini mimi jumapili naenda kanisani. Hizo ni believe wala hazijatugawa ila watu wachache tu wanatumika. Masuala ya maeneo hata wananchi wenyewe wanapokonywa kikubwa katiba ikae sawa kwa wote