Tafakuri: Ujio wa VAR utakuwa ni mwiba Kwa timu ya simba

[emoji23][emoji23]
 
Kama kungekuwa na VAR kwenye zile 5, wala matokeo yasingekuwa vile. Goli la pili, halikustahili, kutokana na ,Mudathir kumkanyaga Kanout na kumuangusha chini. Alistahili kuadhibiwa, na sio kuruhusu ile move iendelee, ambayo ndiyo iliyozalisha lile goli!
 
Kaka kwa ile Simba ilocheza na Kagera Sugar, daaah timu hakuna pale. Kuna kila dalili 5 kurudiwa tena dhidi ya Yanga.
Zile 5 aziko mbali kujirudia Azam anakwenda kurudia alichokifanya yanga nyie subilieni tu muda ni mwalimu mzuri, wameifunga Kagera wamejiona wamekamilika but sisi tunaoangalia mpira kwa jicho la 3 Simba bado gonjwa sana sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…