Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Umemaliza kila kitu . Kwamba kwa Yanga" SIYO SANA" maanake nao ni wanufaika wa hizo penalty za mchongo japo siyo Sana. Basi tuishi humohumo kwamba simba na Yanga wote ni wanufaika wa hao marefa wa mchongo na wala tusisukume hilo zigo kwa timu Moja tu.
Why only Simba?Share ur concern
CAF waanze na wao wenyeweHapo kwenye VAR usimwamini Karia, ni mwongo mwongo...
Hao CAF kwenye mechi zao za club Bingwa hazina VAR, ndio waje wafunge kwenye ligi ya Tz?
Kama kungekuwa na VAR kwenye zile 5, wala matokeo yasingekuwa vile. Goli la pili, halikustahili, kutokana na ,Mudathir kumkanyaga Kanout na kumuangusha chini. Alistahili kuadhibiwa, na sio kuruhusu ile move iendelee, ambayo ndiyo iliyozalisha lile goli!Umemaliza kila kitu . Kwamba kwa Yanga" SIYO SANA" maanake nao ni wanufaika wa hizo penalty za mchongo japo siyo Sana. Basi tuishi humohumo kwamba simba na Yanga wote ni wanufaika wa hao marefa wa mchongo na wala tusisukume hilo zigo kwa timu Moja tu.
Zile 5 aziko mbali kujirudia Azam anakwenda kurudia alichokifanya yanga nyie subilieni tu muda ni mwalimu mzuri, wameifunga Kagera wamejiona wamekamilika but sisi tunaoangalia mpira kwa jicho la 3 Simba bado gonjwa sana sana!Kaka kwa ile Simba ilocheza na Kagera Sugar, daaah timu hakuna pale. Kuna kila dalili 5 kurudiwa tena dhidi ya Yanga.