Tafakuri: Ujio wa VAR utakuwa ni mwiba Kwa timu ya simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Jana TFF wametangaza ujio wa video assistant referee ( VAR) hapa nchini Tanzania itakayotumika kwenye Ligue yetu .......

ni jambo zuri ila Baada ya kufikiria sana nmegundua mambo haya

1. Kuanza kitumika Kwa VAR itakuwa ni mwisho wa Simba kubeba ubingwa since zile penalty za mchongo hazita kuwepo Tena

2: Yale magoli ya offside wanayofunga Simba itakuwa kwaheri

NB Simba tunatakiwa kufanya usajili makini sana ....wale marefa wa kina tatu malogo ....hatutawaona Tena[emoji26][emoji26]
 
Kweli wenye akili yanga ni wawili tu.
Msimu uliopita yanga kachukua ubingwa.
Rejea mechi zifuatazo;
Mechi na kagera mlipewa penalt nje ya kumi na nane,
Mechi na azam round ya kwanza mlikuwa mmekufa goli lenu la kusawazisha mpira ulishatoka,sijui moloko yule sijui lomalisa akapiga krosi mkafunga game ikaisha mbili mbili.
Rejea misimu ya nyuma pia, yanga na lipuli goli ikawa kona,Penalt ya mchongo dhidi ya namungo hadi Feisal akakiri 'aligongwa'.
 
Mimi ni Simba Lia Lia.....ila tukubali tu kuwa tumebebwa sana na maamuzi ya marefa
 
Kweli wenye akili yanga ni wawili tu.
Msimu uliopita yanga kachukua ubingwa.
Rejea mechi zifuatazo;
Mechi na kagera mlipewa penalt nje ya kumi na nane,
Mechi na azam round ya kwanza mlikuwa mmekufa goli lenu la kusawazisha mpira ulishatoka,sijui moloko yule sijui lomalisa akapiga krosi mkafunga game ikaisha mbili mbili.
Rejea misimu ya nyuma pia, yanga na lipuli goli ikawa kona,Penalt ya mchongo dhidi ya namungo hadi Feisal akakiri 'aligongwa'.
Na Azam alikuwa Morrison hata mechi ya juzi na Simba magoli halali yalikuwa manne ukiachilia mbali faulo zao znazochezwa na Aucho
 
Back
Top Bottom