Tafakuri: Ujio wa VAR utakuwa ni mwiba Kwa timu ya simba

Hiyo VAR ikianza tu kuna watu wataumia sana. Maana wamezoea kubebwa na yale magoli ya kuotea, kadi nyekundu zenye utata kwa wapinzani wao, na zile penati za mchongo za kupewa na waamuzi walio andaliwa kwa kazi maalum.
 
mpira dakik 90 na ni mchezo wa makosa shida hisia zimekujaa kichwani mpak unaongea pumba hap
We Kunguru hayo yalikua ni maoni yangu sasa kama wewe unaamini tofauti utakua na matatizo yako binafsi kuanza kunipopoa na huku umeshasema mpira ni dkk 90. Kama na wewe mahaba hayajakukamata ni nini sasa?
 
Hiyo VAR ikianza tu kuna watu wataumia sana. Maana wamezoea kubebwa na yale magoli ya kuotea, kadi nyekundu zenye utata kwa wapinzani wao, na zile penati za mchongo za kupewa na waamuzi walio andaliwa kwa kazi maalum.
Hakika mkuu...watapata tabu sana
 
Jana TFF wametangaza ujio wa video assistant referee ( VAR) hapa nchini Tanzania itakayotumika kwenye Ligue yetu .......

ni jambo zuri ila Baada ya kufikiria sana nmegundua mambo haya

1. Kuanza kitumika Kwa VAR itakuwa ni mwisho wa Simba kubeba ubingwa since zile penalty za mchongo hazita kuwepo Tena

2: Yale magoli ya offside wanayofunga Simba itakuwa kwaheri

NB Simba tunatakiwa kufanya usajili makini sana ....wale marefa wa kina tatu malogo ....hatutawaona Tena[emoji26][emoji26]
Yanga na simba wote wanabebwa!
 
unawajua simba na yanga au unawasikia tu!!
 
Hivi lile Goal la Paul Nonga wa Lipuli lililozaa "Goli kona" ilikuwa Lipuli Vs Simba au Yanga?
 
Kwa Yanga sio sana mkuu
Umemaliza kila kitu . Kwamba kwa Yanga" SIYO SANA" maanake nao ni wanufaika wa hizo penalty za mchongo japo siyo Sana. Basi tuishi humohumo kwamba simba na Yanga wote ni wanufaika wa hao marefa wa mchongo na wala tusisukume hilo zigo kwa timu Moja tu.
 
Back
Top Bottom