DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kama walitoa malezi mabaya? π πKama walitoa malezi mazuri, hakuna shida sana.
Nimeipenda hii
No brainer!Kama walitoa malezi mabaya? π π
Kwa hali ya kawaida tukiweka pembeni biology kuwa mzazi ni zaidi ya kutoa mbeguβ¦..Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu..
Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..
Je utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA
Kwenye movie ya " Boyz n the Hood "Nimeipenda hii
Watakuwa ni wajinga sana kama wamekuficha.Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu..
Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..
Je utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA
So its a cakewalk decision for you π€£π π πNo brainer!
Watakuwa ni wajinga sana kama wamekuficha.
Uislam raha sana, ukimlea mtoto anabaki kuwa wa wazazi wake na anatakiwi asifichwe.
Kila sehemu lazima uweke uislamu.Watakuwa ni wajinga sana kama wamekuficha.
Uislam raha sana, ukimlea mtoto anabaki kuwa wa wazazi wake na anatakiwi asifichwe.
uislam wa mtu wetu mtukufuWatakuwa ni wajinga sana kama wamekuficha.
Uislam raha sana, ukimlea mtoto anabaki kuwa wa wazazi wake na anatakiwi asifichwe.
Una hoja kubwa sana ! usikilizweWatakuwa ni wajinga sana kama wamekuficha.
Uislam raha sana, ukimlea mtoto anabaki kuwa wa wazazi wake na anatakiwi asifichwe.
I islam ndiyo ufumbuzi pekee wa maisha yako ya kila siku wenye tija.uislam wa mtu wetu mtukufu
Kwanini umfiche mtoto unaemlea wazazi wake au asili yake kama unaijuwa?