Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. Hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao.
Nimekuelewa ufafanuzi (definition) yako ingawa naikubali nimeendelea kuitafakari na kuitafsiri maana yako ya mahaba, kwa neno moja nikakuta unamaanisha "Subira" (patience). Naamini hiyo ni moja tu ya sifa ya mahaba. Hauna zingine zaidi ya "subira"?
 
Duuuh, unatukana mtoto hana hata hatia huyu,
Hebu wacha hizi mishe mkuu!....

Kua mtoto Huwa sio shida Mkuu.

Ndio Sababu Kuna Uovu Huwa unapatilizwa Kwa vizazi na vizazi .

Huwezi kutenda mabaya utegemee kizazi chako kiwe salama.

Hata Ivo, Mtoto kama huyu ni wazi ni Overweight kabisaa, uzito wa namna hii unachochea kupungua Kwa gray matter kwenye Hippocampus , sehem ya ubongo inayohusika zaidi na utambuzi, kumbukumbu, n.k

Matokeo yake, Huwa ni Poor school performance Kwa watoto, na watu wazima hujikuta wanakua na dalili za mtu mwenye Matatizo ya Ubongo..

Muhimu hapa, tutafute matokeo ya huyu mtoto, alafu utaniambia !!

Kwa ufupi point ni zile zile...

Lack of Resources..

Poor resources allocation...

Puppet Leaders .....

Poor infrastructures ....
 
Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.

Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.

Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
mahaba

/mahaba/

Hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini.

https://en.bab.la › dictionary › swahili-english › mahaba

Mfano mzuri ni wewe na mahaba yako na uislamu!!!!!!!!!
 
Neno mahaba kwa kiingereza sio love kama ulivyoandika hapo,

Mahaba Kwa kiingereza ni “ Tenderness “
Sikukatalii ingawa "tenderness" niijuavyo mimi ina maana tofauti na mahaba, ndiyo maana ukinisoma vizuri nimepata taabu kufafanua na kupata neno sahihi. Sasa kama mahaba ni tenderness, "mapenzi ni nini? Naamini "tenderness ni sifa mojawapo ya mahaba na kivyangu mimi "tenderness" ni huruma.
 
Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.

Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.

Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
Kuna watu wamekufa wameoza kwa DP World.

Hayo ni mahaba au kasumba tu?🤣🤣🤣
 
Kuna zaidi ya Mahaba ambayo ni Mawarda hii ni habari ingine, Mawarda ni extreme
"warda" nijuavyo mimi ni rose,"mawarda" ni uwingi wake?Kila nikiliona jina hilo hapa JF hunijia kuwa ni mawaridi.

Sasa tufafanulie, una mahaba extreme na mawarda?
 
Back
Top Bottom