spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Tenderness kumbe ni mahabaNeno mahaba kwa kiingereza sio love kama ulivyoandika hapo,
Mahaba Kwa kiingereza ni “ Tenderness “
Aisee utatusababishi Zambi ya kumcheka chibonge na malaika ambaye Zambi za baba yake hazimuhusu.Watoto wanene kama Huwa, Huwa Darasani ni Mbumbumbu sana.
Nimekuelewa ufafanuzi (definition) yako ingawa naikubali nimeendelea kuitafakari na kuitafsiri maana yako ya mahaba, kwa neno moja nikakuta unamaanisha "Subira" (patience). Naamini hiyo ni moja tu ya sifa ya mahaba. Hauna zingine zaidi ya "subira"?Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. Hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao.
Kua mtoto Huwa sio shida Mkuu.Duuuh, unatukana mtoto hana hata hatia huyu,
Hebu wacha hizi mishe mkuu!....
mahabaNimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.
Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.
Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
Aise.Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. Hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao.
Kabisa kabisamahaba
/mahaba/
Hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini.
https://en.bab.la › dictionary › swahili-english › mahaba
Mfano mzuri ni wewe na mahaba yako na uislamu!!!!!!!!!
Sikukatalii ingawa "tenderness" niijuavyo mimi ina maana tofauti na mahaba, ndiyo maana ukinisoma vizuri nimepata taabu kufafanua na kupata neno sahihi. Sasa kama mahaba ni tenderness, "mapenzi ni nini? Naamini "tenderness ni sifa mojawapo ya mahaba na kivyangu mimi "tenderness" ni huruma.Neno mahaba kwa kiingereza sio love kama ulivyoandika hapo,
Mahaba Kwa kiingereza ni “ Tenderness “
Kuna watu wamekufa wameoza kwa DP World.Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.
Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.
Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
Kwahiyo Faiza alienda shule kusoma mahaba🤣🤣Shule Ulienda kusomea ujinga
"warda" nijuavyo mimi ni rose,"mawarda" ni uwingi wake?Kila nikiliona jina hilo hapa JF hunijia kuwa ni mawaridi.Kuna zaidi ya Mahaba ambayo ni Mawarda hii ni habari ingine, Mawarda ni extreme