Pre GE2025 Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

Pre GE2025 Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani?

Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za kutafuta taji. Sasa atamtoaje kwenye reli?

Ndiyo maana hili linasemwa hadharani ili hatua za kumuondosha zikichukuliwa umma usishangaye.

Ushauri huu wa CDF una shari, tena shari kamili. Ungekuwa na heri ungetolewa na CDF kule kule ikulu kwenye briefingi za kila siku zinazohusu ulinzi na usalama wa taifa hili.

Yetu macho, acha tuone.
 
Nani huyo anayepataga ajali za kiafya? VP ama nani hasa?
 
Una mpatia kiki tu huyo wa kiafya mbona umri na afya yake ni tatizo. Kwanza Hana nguvu kwenye chama. Pia Hana ushawishi kabisa, homa tu alilia
 
Una mpatia kiki tu uyo wa kiafya.mbona umri n afya yake ni tatizo.kwanza Hana nguvu kwenye chama. Pia Hana ushawishi kabisa.homa TU alilia
Kuwa na akiba ya maneno mkuu.....Magu alikuwa na ushawishi gani kwani.
 
Kama vipi iwe tu ni mimi basi nimechoka kujifichaficha., Ahya mnataka kusemaje?
 
Haondoki mtu hapa, Mimi nachojua Tz ni shamba la bibi mbona warabu wanajimilikisha ardhi kila kukicha sembuse mimi mweusi kabisa.
Rudi Burundi kumbe mnawaozesha watoto wenu wa kike Ili mjimix uraia
 
Back
Top Bottom