Tafakuri ya Mafuriko ya mashabiki wa Yanga katika mechi za ugenini

Taratiiibu Mashabiki wa Simba wanaanza kukubaliana na hii dhana ya Yanga kuwa na mashabiki wengi zaidi
Tukisema hapa tutumie criteria gani kama SI unit ya kujua timu gani yenye washabiki wengi we utapendekeza njia gani?
 
Hata Sample survey ifanyike kufanya estimation. Inaweza kutupatia results ambazo ni close to reality. Research experts wanaweza saidia kuja na modality nzuri itakayoondoa/kupunguza biasness katika process nzima. Unit of measoment itabaki ileile....idadi ya mashabiki., lkn hii itakuwa ni estimated figure (inferred) from sampling results.
Tukisema hapa tutumie criteria gani kama SI unit ya kujua timu gani yenye washabiki wengi we utapendekeza njia gani?
 
Kwanini hauja-suggest iption ya followers wa mitandaoni kwenye page za hizi timu tuangalie timu ipi ambayo inawafuasi wengi halafu tufanye calculations?

Imagine kama unataka kumshawishi mzungu ambaye hajui chochote kuhusu hizi timu utamshawishi vipi? Mi naona hii ya followers itatosha kumpa mwangaza kabisa kwasababu hai-make sense eti timu yenye followers 50 iwe na idadi kubwa ya mashabiki kuliko timu yenye foloowers 500

Ukisema kwamba timu yako ina mashabiki wengi ila mashabiki wengi hawana access wala kuwa fascinated na social networks itakua ni uwongo maana hata namungo ambaye umemzidi idadi ya followers atasema ana mashabiki wengi kukuzidi wewe ila nao ndo hivyo hawafatilii mitandao ya kijamii
 
Wenye access na mitandao ya kijamii ni segment ndogo ya population....haiwez kuwa true representative. Pia inategemea mambo ya hamasa kwa kipindi fulani na hata muda ambao timu husika nmefungua akaunti ktk hizo forums
 
Hata hapa Jamiiforums, ukitembelea Special thread ya Yanga (comments 19130), wakati us Simba (6572) tu. Sasa sijui wamejaa zaid wana Simba kwenye mijadala ya Yanga? Mitandao isikupe shida ndugu
 
Chukulia kwa uzito huo huo na kwa club ambayo ina idadi kubwa ya followers kuwa wapo mamilioni ya mashabiki ambao hawana access na hiyo mitandao ya kijamii
 
Hata hapa Jamiiforums, ukitembelea Special thread ya Yanga (comments 19130), wakati us Simba (6572) tu. Sasa sijui wamejaa zaid wana Simba kwenye mijadala ya Yanga? Mitandao isikupe shida ndugu
Katika hizo comment 19k, asilimia 80 ni zile comment za manung'uniko na lawama kwa club yao

Fatilia hilo mi nilishafanya survey huko kitambo na hili nilishawahi kulisema wayback hukoo

Huko zimejaa pia comments za wadau wa simba baada ya kuona yanga wanakimbia kwenye uzi wa updates

Angalia updates ya jana kati ya yanga na mbeya kwanza, 70% ya comnents zilikua zangu. Shuhudia leo simba ikicheza uone comments zake kwenye uzi wa updates na mwamko wa mashabiki utavyo jitokeza
 
Wenye access na mitandao ya kijamii ni segment ndogo ya population....haiwez kuwa true representative. Pia inategemea mambo ya hamasa kwa kipindi fulani na hata muda ambao timu husika nmefungua akaunti ktk hizo forums
Hii issue ya nani ana washabiki wengi Kati ya Yanga na Simba ni ngumu sana kupata majibu maana sie utaratibu wetu ni tofauti na nchi zingine ambazo washabiki wanatoka kwenye Jimbo au mkoa ambao team inatokea

Ukisema utumie statistics za kuingiza mapato uwanjani msimu uliopita haiwezi kuwa hoja yenye mashiko kwakuwa kwa miaka 4 nyuma hiyo record ilikuwa ikishikiliwa na Simba kwahiyo huwezi kusema ndani ya msimu mmoja eti washabiki wa Yanga wameongezeka

lakini pia kwa miaka 5 ambayo nimekuwa nikifatilia mechi ya Simba na Yanga naamini nawewe pia umefatilia, hakuna ata mechi 1 ambayo washabiki wa Yanga walikuwa wengi kupita idadi ya mashabiki wa Simba

Sasa tuje kwenye facts

1.ukitumia statistics za Simba kuongoza kwa wafuasi kwenye social networks

2.ukitumia Simba kuongoza kuingiza mapato kwa miaka 3 mfululizo hadi pale ambapo Yanga wamekuja kuongoza msimu uliopita

3. ukitumia record ya Simba kuingiza mashabiki wengi Zaid ya Yanga kwenye mechi ya watani wa Jadi zaid ya miaka 4

4. ukatumia record ya Yanga kuongoza kuingiza mapato msimu uliopita

kwa kutumia hizo facts we hapo utatoa conclusion gani kwamba Nani ana washabiki wengi Tanzania?

Ndomana narudia kusema ni ngumu sana kujua nani anaongoza kwa mashabiki Kati ya hizi team 2
 
Hata hapa Jamiiforums, ukitembelea Special thread ya Yanga (comments 19130), wakati us Simba (6572) tu. Sasa sijui wamejaa zaid wana Simba kwenye mijadala ya Yanga? Mitandao isikupe shida ndugu
Bado hicho sio kipimo, ukitaka kujua sio kipimo nenda kwenye thread za Man u, Liverpool, Chelsea na Arsenal, Barcelona na Real madrid Kisha angalia idadi ya comments zao, sina shaka we mwenyewe unajua nani mwenye washabiki wengi Kati ya hizo team alafu kaangalie Sasa hizo comments kwenye hizo Threads je zinakupa majibu sawa na Yale uliyonayo kuhusu ipi ni club yenye mashabiki wengi
 
Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii?

Tusaidiane kutafakari
Kwa mujibu wa utaratibu wa takwimu wa bodi ya ligi, wale wa mechi ya jana wote ni mashabiki wa Mbeya Kwanza
 
Ndo maana mimi nimesema labda ingefanyika scientific study. Na pia nimeleta hapa jukwaani tusaidiane kutafakari coz kwa nilivoona mimi Yanga wamepata mass kubwa sana mikoani. Duatilia mechi zote za msimu huu mikoani. Na hata pale kwa Mkapa, kipindi wanafanya vizuri....enzi za Manji walikuwa wanajaa sana ktk mechi zote including za watani wa jadi. Overall, labda kwa miaka kama kumi hivi, Yanga anaweza kuwa wameondoka kwa takwimu zote I.e mahudhurio na hata mapato
 
Kwa kutambua ukweli huo, nimemtahadharisha mdau mmoja hapa jamvini kuwa tunachokiona kwenye mitandao inaweza kuto-reveal the real picture
 
Ni kweli. Lkn from what we observed, walishangilia timu gan?
Kwa mujibu wa utaratibu wa takwimu wa bodi ya ligi, wale wa mechi ya jana wote ni mashabiki wa Mbeya Kwanza
 
Hata kama ni manung'uniko, lkn wengi wao (kama ulivosema wewe 80%) ni wa Yanga. Achana na thread za live ambazo huwa unapost siku nzima kwa roho mbaya
 
Kwa kutambua ukweli huo, nimemtahadharisha mdau mmoja hapa jamvini kuwa tunachokiona kwenye mitandao inaweza kuto-reveal the real picture
Kwa maana hiyo kulingana na swali lako au mada yako ulitegemea nani akusaidie kutafakari? Je ni Mashabiki wa Yanga? kwa namna ulivojibu umeeleweka vizuri na nashindwa kuelewa lengo la Thread yako ni ipi Kama unajua kuwa huwezi kupata majibu humu?

ispokuwa nilichoelewa we ulikuwa unataka comments za Wana Yanga ambao ni wafata Mkumbo tu na mihemko na sio watoa facts, ndomana ata huko mwanzo kuna baadhi ya wachangiaji wamejibu kwa mahaba na umeungana nao
 
Hata kama ni manung'uniko, lkn wengi wao (kama ulivosema wewe 80%) ni wa Yanga. Achana na thread za live ambazo huwa unapost siku nzima kwa roho mbaya
Eti roho mbaya, sasa mayele kama anachekesha nisicheke?

Ana hamasisha mashabiki wamshangilie hata pale ambapo hajafunga goli na we unaina kawaida tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…