Tafakuri ya Mafuriko ya mashabiki wa Yanga katika mechi za ugenini

Tafakuri ya Mafuriko ya mashabiki wa Yanga katika mechi za ugenini

Wepi wana furaha is kudumu?
Angalao sasa pamoja na wachezaji wao mchongo wameonyesha uhai kidogo.

Kuna furaha kidogo japo si ya kudumu. Wana strika wao yule Mayele kacheza dakika 630 ana tugoli tutatu.
 
Naona mmekuja kujipooza baada ya kuponda ule uzi wangu kuwa Simba ndo timu kubwa na washabiki kedekede
 
Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii?

Tusaidiane kutafakari
Wananchi wapo kila kona kona ya nchi

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Hii ni ile Yanga ya akina Sarpong ... Ngoja tusubiri takwimu za Yanga ya akina Mayele na Aucho
yangasc-___CUHo6wDsNI3___-3.jpg

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii?

Tusaidiane kutafakari
Makolo watakuua...
 
Back
Top Bottom