Angalao sasa pamoja na wachezaji wao mchongo wameonyesha uhai kidogo.
Kuna furaha kidogo japo si ya kudumu. Wana strika wao yule Mayele kacheza dakika 630 ana tugoli tutatu.
Fanya mambo ya msingi
Wananchi wapo kila kona kona ya nchiNimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii?
Tusaidiane kutafakari
Kumbe tuliopo mitandaoni tuna uchumi mzuri na elimu kubwa ...Wan uwezo mdogo wa elimu, uchumi duni na umri umeenda, hawana interest na mitandao ya kijamii.
Hii ni ile Yanga ya akina Sarpong ... Ngoja tusubiri takwimu za Yanga ya akina Mayele na Aucho View attachment 2029483
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Naona mmekuja kujipooza baada ya kuponda ule uzi wangu kuwa Simba ndo timu kubwa na washabiki kedekede
Tuendeleee hapa hapa mkuu kuuvurugaRudi karekebishe hoja. Uweke basis ambayo ni reasonable
Ubingwa gani we KoLO?,,Yanga bingwa mara ngapi?Kasoro kwenye ubingwa hampo
Tuendeleee hapa hapa mkuu kuuvuruga
Utopolo wajinga sana
Sijakamia mkuu kwani ugomvi?. Ndo raha ya utani wa jadiUmekamia sana
Yanga bingwa mara 27Ubingwa gani we KoLO?,,Yanga bingwa mara ngapi?
Sijakamia mkuu kwani ugomvi?. Ndo raha ya utani wa jadi
Makolo watakuua...Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii?
Tusaidiane kutafakari
Makolo watakuua...