Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast

Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast

Kaamua kujilipua

Mayala: ‘Hakuna namna ya kulimaliza la Oktoba 29 kwa kufukia vitu uvunguni’
1778172716271.jpeg
 
Asante sana Pascal Mayalla kwa hii podcast. Suala la watawala kutopenda kukosolewa umeliweka vema sana tangu issue ya Ben Saanane na Azory Gwanda. Ni makala nzuri kusikiliza na hasa gharama wanazoingia waandishi wa habari na wachambuzi binafsi wa masuala yanayoendelea nchini.
 
07 May 2026
Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast

View: https://m.youtube.com/watch?v=uyaX4VGvwDM

Taken as a whole, the Tanzanian press is useless! Otherwise, isingekubali hata kuwa na viongozi wa aina ya Balile, ambao ni machawa wa wazi. Mara nyingi, quality ya kiongozi ni kielelezo cha quality ya wapigakura waliomchagua!
 
Shida yake huyo jamaa ni moja tu "UNAFIKI" hapo kwenye podcast kaongea hivyo kesho akija humu anaandika kinyume na alichoongea kwenye podcast.
 
Back
Top Bottom