Tafakuri ya ubahili na mkono mrefu

Tafakuri ya ubahili na mkono mrefu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake,

7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.

8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure.
๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿค”๐Ÿ™‡๐Ÿฟโ€โ™‚๐Ÿ™‡๐Ÿฟโ€โ™‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Kwahiyo tusile vya watu bahili.. Lakini Mpare naye ni mtu.. Au yeye kwenye hili kundi hayupo!?๐Ÿค”

Tumeambiwa kuwa ukisikia mtu ana mkono mrefu basi huyo ni mwizi๐Ÿฅบ.. Lakini pia tunaambiwa ya kwamba hatuwezi kuikimbia serikali ina mkono mrefu.. Kwahiyo serikali ni mwizi? Nachanganyikiwa kabisa!
IMG-20250202-WA0011.jpg

udaribarla
 
ubahili ni nini?, ubahili ni kupangilia kila shilingi au resource yoyote inayo pita mikononi mwako.

Kitaalamu mtu bahili ana itwa mchumi.

je ubahili ni uchoyo?, la hasha ubahili ni sawa na kuji Kuna unapo weza.

ubahili ni kuji nyima kwa wakati fulani, kwa ajili ya mambo fulani.

MImi raisi wa ma jobless pro max, naji vunia kuwa bahili.
makutupora, Bolotoba
 
Unabahili ni sera mama katika chama Cha majobless.

Katika chama hili, mwanamke akituomba hela ndo amejipa talaka!

Ni dhambi kubwa kwa majobless Kuhonga!

Ubahili ni Imani na tunaiishi sisi majobless

Tunafata nyayo za Mh. Rais wa Majobless Promax
 
ubahili ni nini?, ubahili ni kupangilia kila shilingi au resource yoyote inayo pita mikononi mwako.

Kitaalamu mtu bahili ana itwa mchumi.

je ubahili ni uchoyo?, la hasha ubahili ni sawa na kuji Kuna unapo weza.

ubahili ni kuji nyima kwa wakati fulani, kwa ajili ya mambo fulani.

MImi raisi wa ma jobless pro max, naji vunia kuwa bahili.
makutupora, Bolotoba
Kitaalamu mtu bahili ana itwa mchumi.

je ubahili ni uchoyo?, la hasha ubahili ni sawa na kuji Kuna unapo weza.

ubahili ni kuji nyima kwa wakati fulani, kwa ajili ya mambo fulani.๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฟ
 
Mkuu unakuaje bahili bila kuwa mchoyo
Mkuu! Uchoyo ni Nini?

Hakuna bahili mwenye vingi, kila bahili ana vichache na anatumia mbinu ya kiuchumi na unabahili kuvitunza hivyo vichache alivyo navyo!

Kila bahili anajua akipoteza alicho nacho ni ngumu kukipata Tena!

Nguvu ya mtu bahili, anayotumia kufanya ubahili kwa alicho nacho ni ndogo kulinganisha na Ile atakayotumia kukutafuta alichonacho kama atakipoteza!

Kila bahili anacho hicho tu! Hakuna kingine. Sio uchoyo ni nidhamu ya kutunza ulicho nacho.

Kwani Sheria inasema aliyenacho ataongezewa!

Uchoyo ni kuwa navyo vingiiii kiasi kwamba hata ukitoa hupati kudhurika katika mapato yako!

Sisi majobless ubahili ni Imani, ubahili ni sera ya maisha, ubahili ni itikadi yetu
 
Mkuu napata wapi kadi ya chama ?
Mkuu karibu sana katika chama!
Kadi unaipata hapa hapa kwa njia ya mtandao.

Mimi ndo msemaji wa CHAMA hiki na nafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa chini ya Rais wangu wa majobless promax Intelligent businessman

Hakuna michango!
Hakuna fedhehea!
Hakuna Kuhonga!

Tunafurahia maisha sana katika chama hiki. Sera yetu Kubwa ni upendo, ubahili na mshikamano.

Tuna amini kuwa "HAKUNA MWANADAMU MKAMILIFU ILA TU WANATOFAUTINA UWAFADHALI ... "

KARIBU MKUU
 
Dah sema ubahili kwenye mitungi ndio kitu kinanishinda tu ila huko kwingine nime durusu vyema kabisa ๐Ÿ˜
Mkuu karibu sana katika chama!
Kadi unaipata hapa hapa kwa njia ya mtandao.

Mimi ndo msemaji wa CHAMA hiki na nafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa chini ya Rais wangu wa majobless promax Intelligent businessman

Hakuna michango!
Hakuna fedhehea!
Hakuna Kuhonga!

Tunafurahia maisha sana katika chama hiki. Sera yetu Kubwa ni upendo, ubahili na mshikamano.

Tuna amini kuwa "HAKUNA MWANADAMU MKAMILIFU ILA TU WANATOFAUTINA UWAFADHALI ... "

KARIBU MKUU
 
Dah sema ubahili kwenye mitungi ndio kitu kinanishinda tu๐Ÿ˜
See ya Chama ... Inasema Upendo na Upendo unaanza na kujipenda wewe mwenyewe Kisha majobless wenzako!

Lazima umwangilie moyo ... Katika Katiba ya Chama ... Sheria namba 5 ibara ya 6 inasema;

Kila mwanachama atatumia rasilimali zake na vipato vyake katika kila jambo ambalo anaona linampa maendeleo, furaha (happiness), Raha (rest) pasipo kuvunja Sheria namba 2 ya Katiba hii ambayo ni Kuhonga.

Hivyo kulingana na katiba Cha chama hiki; Sheria kuu namba mbili,ambayo ni Sheria mama inakataza tu Kuhonga kwani inasema

... Ni kheri mwanachama kutumia mapato yake kwa uwadilifu na Kwa wivu mkubwa, kwani upatikanaji wa mapato ni mgumu hivyo, ni marufuku Kuhonga, Bora kutumia Pesa hiyo kwa kuwapatia wazazi, walezi au wahitaji wasiojiweza.

Tukisimamia Sheria hizo mbili ni ruksa kunywa ila kwa ustarabu ila sio kumnunulia mwanamke pombe, hiyo kisheria inahesabika umehonga!
 
Mkuu! Uchoyo ni Nini?

Hakuna bahili mwenye vingi, kila bahili ana vichache na anatumia mbinu ya kiuchumi na unabahili kuvitunza hivyo vichache alivyo navyo!

Kila bahili anajua akipoteza alicho nacho ni ngumu kukipata Tena!
!

Kila bahili anacho hicho tu! Hakuna kingine. Sio uchoyo ni nidhamu ya kutunza ulicho nacho.

Kwani Sheria inasema aliyenacho ataongezewa!

Sisi majobless ubahili ni Imani, ubahili ni sera ya maisha, ubahili ni itikadi yetu
Nasema hivi siku kosea kuku chagua Kama msemaji wa chama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜.

Bro you're an intelligent person, tena kwa daraja la juu

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
 
Back
Top Bottom