Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
ishi Sana semaji la ma jobless pro max.See ya Chama ... Inasema Upendo na Upendo unaanza na kujipenda wewe mwenyewe Kisha majobless wenzako!
Lazima umwangilie moyo ... Katika Katiba ya Chama ... Sheria namba 5 ibara ya 6 inasema;
Kila mwanachama atatumia rasilimali zake na vipato vyake katika kila jambo ambalo anaona linampa maendeleo, furaha (happiness), Raha (rest) pasipo kuvunja Sheria namba 2 ya Katiba hii ambayo ni Kuhonga.
Hivyo kulingana na katiba Cha chama hiki; Sheria kuu namba mbili,ambayo ni Sheria mama inakataza tu Kuhonga kwani inasema
... Ni kheri mwanachama kutumia mapato yake kwa uwadilifu na Kwa wivu mkubwa, kwani upatikanaji wa mapato ni mgumu hivyo, ni marufuku Kuhonga, Bora kutumia Pesa hiyo kwa kuwapatia wazazi, walezi au wahitaji wasiojiweza.
Tukisimamia Sheria hizo mbili ni ruksa kunywa ila kwa ustarabu ila sio kumnunulia mwanamke pombe, hiyo kisheria inahesabika umehonga!