Unabahili ni sera mama katika chama Cha majobless.ubahili ni nini?, ubahili ni kupangilia kila shilingi au resource yoyote inayo pita mikononi mwako.
Kitaalamu mtu bahili ana itwa mchumi.
je ubahili ni uchoyo?, la hasha ubahili ni sawa na kuji Kuna unapo weza.
ubahili ni kuji nyima kwa wakati fulani, kwa ajili ya mambo fulani.
MImi raisi wa ma jobless pro max, naji vunia kuwa bahili.
makutupora, Bolotoba
Kitaalamu mtu bahili ana itwa mchumi.ubahili ni nini?, ubahili ni kupangilia kila shilingi au resource yoyote inayo pita mikononi mwako.
Kitaalamu mtu bahili ana itwa mchumi.
je ubahili ni uchoyo?, la hasha ubahili ni sawa na kuji Kuna unapo weza.
ubahili ni kuji nyima kwa wakati fulani, kwa ajili ya mambo fulani.
MImi raisi wa ma jobless pro max, naji vunia kuwa bahili.
makutupora, Bolotoba
Mkuu unakuaje bahili bila kuwa mchoyoUnabahili ni sera mama katika chama Cha majobless.
Katika chama hili, mwanamke akituombe hela ndo amejipa talaka!
Ni dhambi kubwa kwa majobless Kuhonga!
Ubahili ni Imani na tunaiishi sisi majobless
Tunafata nyayo za Mh. Rais wa Majobless Promax
Mkuu! Uchoyo ni Nini?Mkuu unakuaje bahili bila kuwa mchoyo
Mkuu napata wapi kadi ya uana chama ?Unabahili ni sera mama katika chama Cha majobless.
Katika chama hili, mwanamke akituomba hela ndo amejipa talaka!
Ni dhambi kubwa kwa majobless Kuhonga!
Ubahili ni Imani na tunaiishi sisi majobless
Tunafata nyayo za Mh. Rais wa Majobless Promax
Mkuu karibu sana katika chama!Mkuu napata wapi kadi ya chama ?
Mkuu karibu sana katika chama!
Kadi unaipata hapa hapa kwa njia ya mtandao.
Mimi ndo msemaji wa CHAMA hiki na nafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa chini ya Rais wangu wa majobless promax Intelligent businessman
Hakuna michango!
Hakuna fedhehea!
Hakuna Kuhonga!
Tunafurahia maisha sana katika chama hiki. Sera yetu Kubwa ni upendo, ubahili na mshikamano.
Tuna amini kuwa "HAKUNA MWANADAMU MKAMILIFU ILA TU WANATOFAUTINA UWAFADHALI ... "
KARIBU MKUU
See ya Chama ... Inasema Upendo na Upendo unaanza na kujipenda wewe mwenyewe Kisha majobless wenzako!Dah sema ubahili kwenye mitungi ndio kitu kinanishinda tuπ
Hahaha karibu chamani. wewe utakuwa katibu wa chama Cha ma jobless pro max.Mkuu napata wapi kadi ya uana chama ?
Hahaha, kuwa bahili haimaanishi uji nyime. La hasha.Dah sema ubahili kwenye mitungi ndio kitu kinanishinda tu ila huko kwingine nime durusu vyema kabisa π
Swadakta masterHahaha, kuwa bahili haimaanishi uji nyime. La hasha.
hata mimi raisi wa ma jobless pro max Nina starehe zangu.
na hazi ingilia mfuko wangu, hiyo ni starehe yako enjoy mkuu.
Nasema hivi siku kosea kuku chagua Kama msemaji wa chama ππ.Mkuu! Uchoyo ni Nini?
Hakuna bahili mwenye vingi, kila bahili ana vichache na anatumia mbinu ya kiuchumi na unabahili kuvitunza hivyo vichache alivyo navyo!
Kila bahili anajua akipoteza alicho nacho ni ngumu kukipata Tena!
!
Kila bahili anacho hicho tu! Hakuna kingine. Sio uchoyo ni nidhamu ya kutunza ulicho nacho.
Kwani Sheria inasema aliyenacho ataongezewa!
Sisi majobless ubahili ni Imani, ubahili ni sera ya maisha, ubahili ni itikadi yetu