Tafakuri ya ubahili na mkono mrefu

ishi Sana semaji la ma jobless pro max.
 
🤣Nje ya mada kidogo siku moja alikuja madam wa field shule yetu miaka pindi nipo form three enzi Tmk
Basi kwenye kuulizwa majina mawili mimi nikasema naitwa "alito "
Baba yangu anaitwa "mbaga"

Yule madam akaunganisha majina yangu akaliita kwa ujumla "Aya darasa mpigieni makofi " alitombaga"🤣watu wote hoi kwa vicheko
 
Je bahili ni mbinafsi!?
 
Hakuna michango!
Hakuna fedhehea!
Hakuna Kuhonga!🤣
 
Lazima umwangilie moyo! Naomba kadi fasta😋
 
Kumbe ndio maana kuna kampuni inaitwa Alitop..
 
Ewe makutupora msemaji wa chama Cha ma jobless pro max, njoo ujibu swali.
Hakika Mh. Rasi wa Majobless Promax

Mbahili sio Mbinafsi! Nakumbuka hutba ya mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa

Ukiondoa matatizo mengine kama njaa, majanga na nzige, jambo lingine linatokwamisha maendeleo ya nchi ni ubinafsi

Aliyasema katika Kitabu Cha tujisahihishe!

Mtu anayeweza kuiba fedha ya umma ili kujlimbikizia Mali na kuacha watu wakafa pasipo kupata matibabu huyo ndo mbinafsi

Sisi wabahili ambao ni majobless sera ya ya chama ni upendo, umoja na mshikamano mbali na vidogo na vichache tulivyo navyo tunatoa kwa ajili ya wazazi, walezi na wahitaji
Hivyo sisi sio wabinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…