Tafakuri yangu: Kifo cha Job Ndugai ( Spika Mstaafu)

unauhakika kwamba kitendo cha jamaa kuiba kura na kujipa ushindi ndio kimemuua?

naona kama kuna mtu nyuma ya kifo cha ndugai
 
Porojo tu. Hata ufanye nini hapa duniani kifo kiko pale pale tu. Mengine yote ni kujifariji tu kwa binadamu! Wakati wanashangilia au kusikitika we wala huna fahamu.
 
MTU umekuwa mbunge over 25 yrs
Umekuwa Speaker .

Una BIMA kubwa , Una pension kubwa una security n.k

Ila unakosa Akili na maono unataka kugombea ubunge ili ukafanye Kazi na watu wasiokupenda .

Huu ni ujinga mkubwa aliokuwa nao kichwani .
 
Ukiona watu wengi wanasema haufai kuwa kiongozi wao ujue hiyo ni sauti ya Mungu na ukilazimisha utakufa kifo cha aibu Sana ndo hivyo unaiba kura unamaliza unakufa.📌🔨
 
unauhakika kwamba kitendo cha jamaa kuiba kura na kujipa ushindi ndio kimemuua?

naona kama kuna mtu nyuma ya kifo cha ndugai
Amevunja kanuni za kiulimwengu lazima angekufa tu , huyo jamaa ni mgonjwa wa muda mrefu kwahiyo kitaalamu alibidi kukaa mbali na hekaheka za kisiasa .

Hakuna mkono wa MTU that's simple mathematics
 
PLANNED DEATH
Inaweza kuwa planned or unplanned Ila ujinga wake ndo umemsabishia yote hayo .


Kwakuwa anajua watz , Serikali , wananchi wote hawampendi na hawataki hata kumuona Ila anataka arudi bumgeni ili iweje .

Mimi nalaumu familia yake ambao wameshindwa kumshauri Baba yao mambo ya msingi ya kufanya .
 
Hivi ni spika gani alipitisha sheria ya hawa watu viongozi wajuu walipwe hadi wanakufa?pia wasishitakiwe kwa maamuzi mabovu .sikumbuki naomba mnikumbushe.
 
Hivi ni spika gani alipitisha sheria ya hawa watu viongozi wajuu walipwe hadi wanakufa?pia wasishitakiwe kwa maamuzi mabovu .sikumbuki naomba mnikumbushe.
Ni huyu na Rango
 
Hivi ni spika gani alipitisha sheria ya hawa watu viongozi wajuu walipwe hadi wanakufa?pia wasishitakiwe kwa maamuzi mabovu .sikumbuki naomba mnikumbushe.
Sheria za kulipwa mpaka wanakufa zilikuepo hata kabla ujio wa ndugai mkuu
Ila kutoshitakiwa ni huyu na mwenzie wa sasa
 
Aisee hizo pesa mbona ni nyingi sana na zingeweza kujenga vituo vingi tu vya afya.
 
Aisee hizo pesa mbona ni nyingi sana na zingeweza kujenga vituo vingi tu vya afya.
Alikuwa anafoji risiti nachojua huo ulikuwa wizi.

Na awamu ya 5 alisoma udhaifu wa yule jamaa kuwa hapendi kukosolewa na hapendi challenge basi yeye Kazi ilikuwa ni kuumiza upinzani na kisha kujichotea.


Nakumbuka alivyorudisha hela na kusema hizi zimebaki ili kumchota akili JJ.
 
Mlevi wa kwanza ''Jamani nihurumieni naumwa naomba msaada wa matibabu''
Mlevi wa pili '' Huwezi pata matibabu wewe kwa sababu ni mtoro huhudhurii vikao''
Mungu ''Nitawaadhibu wakulaanio na wanaokutakia mabaya''

Walikuwa walevi watatu saa nane usiku wanapita dirishani kwangu nikasikia wako kama wanaigiza walitokea kilabu cha jirani cha pombe ya kimpumu kule Kigoma inaitwa kayoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…