Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,594
- 1,806
Umeandika utumbo hapo.
Wale Jamaa walimwambia kua awamu hii ni wakati wake wa kupumzika sijui wanajisikiaje sijui ndio hao wanaofurahi jambo lao limetimiaApumzike kwa amani
maana yake ni niniithibati
Waliweka injini mpya?Upasuaji wa kichwa!
Lilikuwa katili la kutisha! Wala waache aliowatenda wafurahi.Tafakuri juu ya chama chake na maisha yake kisiasa na wale wore aliowatendea vibaya kwa sababu tu ya madaraka!
ameandika vema kabisa.Umeandika utumbo hapo.
Angalia usije ukakojoa kitandaniMlevi wa kwanza ''Jamani nihurumieni naumwa naomba msaada wa matibabu''
Mlevi wa pili '' Huwezi pata matibabu wewe kwa sababu ni mtoro huhudhurii vikao''
Mungu ''Nitawaadhibu wakulaanio na wanaokutakia mabaya''
Walikuwa walevi watatu saa nane usiku wanapita dirishani kwangu nikasikia wako kama wanaigiza walitokea kilabu cha jirani cha pombe ya kimpumu kule Kigoma inaitwa kayoka
Una uhakika gani kua familia yake haimkumshauri hivyo ila hakutaka kuwasikia?Naipa pole familia yake Ila pia nasikitika kuona alikua na familia ya watu wajinga ambao kikawaida wangemshauri aachane na ubunge na kuangalia Afya yake.
Huyu ndiye alilazimisha wale wabunge 11 wa upinzani wabaki bungeni kinyume na katiba ya nchi,ni ndiye eeh!ameandika vema kabisa.
Lilikuwa katili la kutisha! Wala sishangai, waache aliowatenda vibaya (kama alivyomtendea unyama Lisu, mfano mmoja tu) wafurahi.
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.Waliweka injini mpya?
Maana hiyo pesa duh..!
Mlevi wa pili katangulia kamuacha mlevi wa kwanza.Mlevi wa kwanza ''Jamani nihurumieni naumwa naomba msaada wa matibabu''
Mlevi wa pili '' Huwezi pata matibabu wewe kwa sababu ni mtoro huhudhurii vikao''
Mungu ''Nitawaadhibu wakulaanio na wanaokutakia mabaya''
Walikuwa walevi watatu saa nane usiku wanapita dirishani kwangu nikasikia wako kama wanaigiza walitokea kilabu cha jirani cha pombe ya kimpumu kule Kigoma inaitwa kayoka