Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ulikuwepo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ulikuwepo?
Na mara nyingi ukiwa na mwanzo mzuri,ukasosa nguvu ya kiroho ya kupambanua mambo positively tegemea kuwa na mwisho mbaya.Kila jambo lina mwanzo wa nyakati na lina mwisho pia.. Mwanzo unaweza kuwa mwema sana.. Chunga sana mwisho usije ukawa mbaya
Duh..!Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.
Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.
Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.
Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.
Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.
Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
Aione Lucas Mwashambwa kwenye jalada tafadhali.Neno la Mungu linasema.. Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80....! Baada ya hapo utaishi miaka ya bonus au ya ubatili!
Job Ndugai katwaliwa kutoka maisha haya! Bila kuteseka sana na bila maumivu.. Kufumba na kufumbua mtu kanyamaza
Ni mojawapo ya vifo bora kabisa! Ambavyo wengi wetu wangetamani kufa
Kuna videos zinazunguka mitandaoni zikidai ni shangwe ya wananchi kufurahia kifo chake! Sina ithibati juu ya uhalisia wake lakini kwa kawaida watu huumizwa na kifo na si kufurahia
Ikumbukwe ya kwamba marehemu Job Ndugai ndiye mgonjwa ghali zaidi duniani anayeshikia rekodi ya Guiness book of records kwa kutumia takribani shilingi BILIONI 26 na ushee kutibiwa nchini India
Hizi hazikuwa pesa zake binafsi bali aligharimiwa na serikali ya Tanganyika
Kwenye maisha ya uhai na kifo kuna vifo vya hiari na kuna vifo vya lazima! Kila roho inayoacha mwili hupitia mojawapo kati ya hivyo na ndio maana watu husema hakuna kifo kinachokosa sababu!
Marehemu Job Ndugai ni baba wa familia, akiwa pia na ndugu jamaa na marafiki! Hawa watakuwa wameumizwa sana na kifo cha mpendwa wao lakini wataumia zaidi kuona furaha ya wengine juu ya kifo chake hiki!
Furaha ama huzuni juu ya kifo cha mtu huwa na viasili vingi... Wakati Job Ndugai akitibiwa kwa bilion 26 na ushee
Kuna mamia walikufa kwa kukosa elfu 10 moja ya dawa ama matibabu
Kuna vitu viwili huwa havinajisiwi.. Ardhi na uhai.. Hizi ni tunu mbili pekee takatifu alizopewa mwanadamu na mola wake
Ukizilinda, kuziheshimu na kuzitunza, unajiandalia mwisho mwema wewe na familia yako hapa duniani na hata milele!
Wengi wameangamia kimwili na kiroho kwa kuziseta, kuzifharau, kuzidhihaki na kuzitendea vibaya hizi tunu mbili takatifu mbele za macho ya Mungu wetu
Kuna wakati wafao huwa hata na habari kuwa wamekufa hasa wale ambao huishi kimwili zaidi ya kiroho! Shida hubakia kwa walio hai
Kifo cha Job Ndugai kinatupa tafakuri muhimu juu ya uumbaji.. Maisha yetu duniani.. Heshima na thamani kwa wengine bila kujali udogo ama ukubwa wao
Tafakuri juu ya chama chake na maisha yake kisiasa na wale wore aliowatendea vibaya kwa sababu tu ya madaraka!
Wengi kati yao wako hai wakiwa sehemu ya furaha ama wakikiangalia kifo chake kwa tafakuri kuu
Yote juu ya yote hakuna mkamilifu chini ya jua.. Lakini daima usishindwe na ubaya! Bali ushinde ubaya kwa mema!
Pumzika Job Ndugai ama iishi karma yako katika uhai wako mpya nje ya mwili uharibikao!
Wakati si milele❗
View attachment 3434516
(6,794) Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12 | JamiiForums Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12
Asante sana Mshana....Naliona andiko ili ni moja ya maandiko bora sana duniani.....asante sana kwa maneno ya HekimaNeno la Mungu linasema.. Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80....! Baada ya hapo utaishi miaka ya bonus au ya ubatili!
Job Ndugai katwaliwa kutoka maisha haya! Bila kuteseka sana na bila maumivu.. Kufumba na kufumbua mtu kanyamaza
Ni mojawapo ya vifo bora kabisa! Ambavyo wengi wetu wangetamani kufa
Kuna videos zinazunguka mitandaoni zikidai ni shangwe ya wananchi kufurahia kifo chake! Sina ithibati juu ya uhalisia wake lakini kwa kawaida watu huumizwa na kifo na si kufurahia
Ikumbukwe ya kwamba marehemu Job Ndugai ndiye mgonjwa ghali zaidi duniani anayeshikia rekodi ya Guiness book of records kwa kutumia takribani shilingi BILIONI 26 na ushee kutibiwa nchini India
Hizi hazikuwa pesa zake binafsi bali aligharimiwa na serikali ya Tanganyika
Kwenye maisha ya uhai na kifo kuna vifo vya hiari na kuna vifo vya lazima! Kila roho inayoacha mwili hupitia mojawapo kati ya hivyo na ndio maana watu husema hakuna kifo kinachokosa sababu!
Marehemu Job Ndugai ni baba wa familia, akiwa pia na ndugu jamaa na marafiki! Hawa watakuwa wameumizwa sana na kifo cha mpendwa wao lakini wataumia zaidi kuona furaha ya wengine juu ya kifo chake hiki!
Furaha ama huzuni juu ya kifo cha mtu huwa na viasili vingi... Wakati Job Ndugai akitibiwa kwa bilion 26 na ushee
Kuna mamia walikufa kwa kukosa elfu 10 moja ya dawa ama matibabu
Kuna vitu viwili huwa havinajisiwi.. Ardhi na uhai.. Hizi ni tunu mbili pekee takatifu alizopewa mwanadamu na mola wake
Ukizilinda, kuziheshimu na kuzitunza, unajiandalia mwisho mwema wewe na familia yako hapa duniani na hata milele!
Wengi wameangamia kimwili na kiroho kwa kuziseta, kuzifharau, kuzidhihaki na kuzitendea vibaya hizi tunu mbili takatifu mbele za macho ya Mungu wetu
Kuna wakati wafao huwa hata na habari kuwa wamekufa hasa wale ambao huishi kimwili zaidi ya kiroho! Shida hubakia kwa walio hai
Kifo cha Job Ndugai kinatupa tafakuri muhimu juu ya uumbaji.. Maisha yetu duniani.. Heshima na thamani kwa wengine bila kujali udogo ama ukubwa wao
Tafakuri juu ya chama chake na maisha yake kisiasa na wale wore aliowatendea vibaya kwa sababu tu ya madaraka!
Wengi kati yao wako hai wakiwa sehemu ya furaha ama wakikiangalia kifo chake kwa tafakuri kuu
Yote juu ya yote hakuna mkamilifu chini ya jua.. Lakini daima usishindwe na ubaya! Bali ushinde ubaya kwa mema!
Pumzika Job Ndugai ama iishi karma yako katika uhai wako mpya nje ya mwili uharibikao!
Wakati si milele❗
View attachment 3434516
(6,794) Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12 | JamiiForums Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12
Sanaaa, mwamba yupo vizuri.Asante sana Mshana....Naliona andiko ili ni moja ya maandiko bora sana duniani.....asante sana kwa maneno ya Hekima
Asante Sana lakini kwakweli sijawahi kufuatilia maana nimeandika sanaSanaaa, mwamba yupo vizuri.
Nina swali kwa Mshana. Wewe ni mwandishi na mchambuzi mzuri TU wa mambo anuai. Unafikiri ni andiko Gani au uchambuzi Gani unaodhani kwako ulikuwa Bora zaidi na ulioweka rekodi, ili niupitie. I'm very serious
......Mwambie Prof. Tibaijuka ninampenda sana...lakini sitaki kukubali ASEME KWA NIABA YA JOB Kipindi hiki....Hakuumizwa TAL peke yake...Tumeumia wengi......Alitakiwa ajitetee yeye mwenyewe.....Au angejiudhulu.....Badala yake amepiga watu bakola na kuonga ili arudi madarakani....Anna Tibaijuka
@AnnaTibaijuka.
32m
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo? Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi. Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor).
Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. Mimi nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege. Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili".
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi? Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
Mama Samia Aangalie Sana suala la Wahuni Amsikilize Polepole na Aongoze Nchi Kama Rais Mwenye Mamlaka Kamili.Anna Tibaijuka

Mama Samia Aangalie Sana suala la Wahuni Amsikilize Polepole na Aongoze Nchi Kama Rais Mwenye Mamlaka Kamili.
Tuonane Paradiso kwenye mji wa rahaWhat might be the cause of his death? au Wamemkolimba?
Wahindi wanatupiga sana kwenye matibabu, achana kwanza na India, nenda hapo Agakhan ulazwe kwa week tu,angalia bill yake sasa!!26B bill ya kwenye matibabu alikua anaumwa nini? hasa
Wengi wameangamia kimwili na kiroho kwa kuziseta, kuzifharau, kuzidhihaki na kuzitendea vibaya hizi tunu mbili takatifu mbele za macho ya Mungu wetu
Kuna wakati wafao huwa hata na habari kuwa wamekufa hasa wale ambao huishi kimwili zaidi ya kiroho!
Lakini daima usishindwe na ubaya! Bali ushinde ubaya kwa mema!
Pumzika Job Ndugai ama iishi karma yako katika uhai wako mpya nje ya mwili uharibikao!
Wakati si milele❗
(6,794) Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12 | JamiiForums Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12
Kuna ishara za kiroho wanaoneshwa lakini hawazioni