MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Utafiti mpya kabisa na wa hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani unaonesha kuna uhusiano mkubwa kati ya mafuta ya transfoma na nguvu za kiume.
Profesa Derrick Fitzgerald kutoka kitengo cha chemical & systems biology (CSB) cha chuo hicho amesema kutokana na uchunguzi waliofanya kwa watu 102 waliotumia mafuta hayo kama chakula kwa bahati mbaya au bila kujua,watu 97 wanadai uwezo wao wa kufanya mapenzi uliongezeka mara tatu zaidi ukilinganisha na mwanzo.
Pia utafiti huo unadai kuwa mtu anayetumia ml 15 kwa mwezi ya mafuta ya transfoma anaweza kufanya mapenzi mpaka saa 3 bila kufika kileleni hii inatokana na uwezo wa mafuta hayo kurahisisha usukumaji wa damu na pia urahisishaji wa mmeng'enyo wa chakula.
Fitzgerald amedai utafiti utakapokamilika na kupata vibali toka mamlaka husika wataanza kuuza mafuta hayo kwa bei inayofaa kati ya dola 2000 mpaka 2200 kwa ml 250 .
NB:Usiamini kila kitu unachokiona mtandaoni.