TAFITI: Mafuta ya transformer yanaongeza nguvu za kiume

TAFITI: Mafuta ya transformer yanaongeza nguvu za kiume

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Utafiti mpya kabisa na wa hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani unaonesha kuna uhusiano mkubwa kati ya mafuta ya transfoma na nguvu za kiume.

Profesa Derrick Fitzgerald kutoka kitengo cha chemical & systems biology (CSB) cha chuo hicho amesema kutokana na uchunguzi waliofanya kwa watu 102 waliotumia mafuta hayo kama chakula kwa bahati mbaya au bila kujua,watu 97 wanadai uwezo wao wa kufanya mapenzi uliongezeka mara tatu zaidi ukilinganisha na mwanzo.

Pia utafiti huo unadai kuwa mtu anayetumia ml 15 kwa mwezi ya mafuta ya transfoma anaweza kufanya mapenzi mpaka saa 3 bila kufika kileleni hii inatokana na uwezo wa mafuta hayo kurahisisha usukumaji wa damu na pia urahisishaji wa mmeng'enyo wa chakula.

Fitzgerald amedai utafiti utakapokamilika na kupata vibali toka mamlaka husika wataanza kuuza mafuta hayo kwa bei inayofaa kati ya dola 2000 mpaka 2200 kwa ml 250 .

NB:Usiamini kila kitu unachokiona mtandaoni.
 
tuna kazi kubwa sana siku hizi ya kulinda heshima ya ndoa
 
Sasa wewe unataka watu waanza kuharibu transformer zetu tukose umeme. Kitaalamu mafuta ya Transformer ni hatari sana kwa matumizi ya binadamu. Yale ni mafuta ya kwa ajili ya mashine na sio kwa ajili ya matumizi ya mwili wa binadamu. Ukitumia utaishia kupata kansa tu basi.
 
Sielewi kwa nn siku hizi ili kuleta heshima lazima ubust.
 
Sasa wewe unataka watu waanza kuharibu transformer zetu tukose umeme. Kitaalamu mafuta ya Transformer ni hatari sana kwa matumizi ya binadamu. Yale ni mafuta ya kwa ajili ya mashine na sio kwa ajili ya matumizi ya mwili wa binadamu. Ukitumia utaishia kupata kansa tu basi.

Kwani nayo si ni machine.
 
Napata wasiwas sana na watoa hoja humu ndani hicho unachokiandika kina ukweli wowote? kwa sababu hata kile tunacho kula yaani chakula tu kikiliwa ndivyo sivyo ni sumu sasa wewe unasema mafuta ya transforma ni dawa? Napata wasiwasi sawa na wewe
 
Back
Top Bottom