Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hizi kitu zinafaa sana kuanzia kwa vijana wadogo wanaokuwa na nafasi, muda na kuwezeshwa hawa wanaweza kufanikiwa na kuwa na upeo mzuri kuliko kijana mtu mzima ambaye anataka mafanikio ya haraka.
Ukizingatia umri wa maisha hapa duniani ni mfinyu sana kuliko unaotumika shuleni.
Hamna ukweli wowote kwenye maelezo yako,zungumzia mambo mengine kama majukumu ya familia na vitu vingine ila issue ya intelligence wapo wanawake wengi tu wenye intelligence sawa na au hata kuwazidi wanaume. Kali linux kamzungumzia ada lovelace .programmer wa kwanza kabisa anaetambulika na alikua ni mwanamke.Masomo ya sayansi kwa ujumla wanawake ni wachache,kiduchu.Darasa langu la a phys lilikuwa na wanawake 2/26tu hio ni digrii level kwenye masters huko sijui ikoje! Wanawake wanauwezo was kukariri na si kufikiri, ndio maana mpaka sasa ktk ulimwengu wa IT innovation nyingi ni za wanaume kuanzia Facebook,tweeter,window,wasap nk
Computer ya aina gani ulitumia?Shida haya makomputer yanatuharibu macho mimi mwenyewe nilijifunza kwa miaka 2 kwa kufuatilia tutorials za Bucky Roberts lakini niliishia njiani baada ya haya macomputer ya kichina kuanza kuniumiza macho