Tafiti: Wanawake ni wachache wanaojifunza 'Coding'

Shida haya makomputer yanatuharibu macho mimi mwenyewe nilijifunza kwa miaka 2 kwa kufuatilia tutorials za Bucky Roberts lakini niliishia njiani baada ya haya macomputer ya kichina kuanza kuniumiza macho
Ulitakiwa utafute miwani maalum ya macho itakayokukinga na mionzi....
Haya mambo ka kukaa kwenye computer Muda mrefu siyo mchezo inahitaji umakini..
Unavyoona kuna Edward Snowden wanavaa miwani usifikiri ni wagonjwa wa macho
 
Kwa wakati ule 2015 hii miwani ilikuwa haijulikani sana
 
Back
Top Bottom